Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Liverpool manager claims Ole had more penalties than him but got his stats all wrong. Here are the facts
IMG_20210105_135527_861.jpg
IMG_20210105_135527_907.jpg
 
Klopp knows when Manutd visits Anfield they will be in lowest confidence levels.
We project Aston Villa will beat them again in the Fa Cup by a margin of three goals or more without a reply.
 
Hapo kwenye link ya source hata mimi nitakaa kusubili majibu yake.
Unajua maana ya Key pass? Ni pasi ambayo inaweza kuwa assist, so far Epl ni wachezaji watatu tu wenye average 3 key pass kwa match, Bruno, DE Bruyne na Grealish.

Je Unafikiri kutoa Keypass 3 kwenye match Moja ni Jambo Dogo?

Na link ya source ni ipi? Picha Picha kila mtu a naweza edit zake.
 
Nahisi tutaanza kumuona uwanjani, siku ya game na Livakuku.
Ila timu kubwa inapofungwa na Arsenal inakuwa kama ina upungufu Fulani hivi asee. Mfano sisi Man U tunapocheza na Arsenal yaani huwa siwazi kwamba mpira una matokeo matatu. Hivi Cavan adhabu yake inaisha kwenye mechi inayokuja au ipi?
 
wakuu liva kaangusha point, tumchukue mathew flamini yule wa zamani wa arsenal acheze kati pale tumtoe pogba. Ubingwa mapema tu mwezi ujao
 
Mwache Olesendeka aweka kikosi full mkoko hi kusema it's just a Carabao cup wakati hamna uhakika wa kikombe chochote msimu huu itawacost
My starting XI vs City kesho

======
Henderson

AWB Lindelof Maguire Telles

McTominay Fred

Greenwood VdB Pogba

Martial

=======
It's Carabao Cup guys hakuna haja ya kukamia at this moment

✓Fernandes anahitaji kupumzika,Rashford pia the same..Kitasa Bailly hakuna haja ya kukitumia..kuna game mbili za epl zenye umuhimu sana zinakuja na kama Victor hajapona basi Tuanzebe aanze

GGMU
 
Hahaha labda ubingwa wa Playstation
Mkuu, huyu City ana viporo vigumu vitupu.
Anamziki wa Evaton pamoja na Aston Villa, sioni akichukua points zote 6 huyo.
Yani sisi ubingwa tunaanza kujihakikishia kwenye mechi na Livakuku.
Tukichinja kuku tu, basi ubingwa uleeee.
 
Hivi unawezaje kuiacha man city ya 2017/2018 walimaliza msimu na 100 points
Timu bora toka nianze kuangalia epl england hadi sasa

1.Manchester united 1999/2000.
2.Arsenal 2003/2004.
3.chelsea 2007/2008.
4.manchester united 2007/2008.
 
Unajua maana ya Key pass? Ni pasi ambayo inaweza kuwa assist, so far Epl ni wachezaji watatu tu wenye average 3 key pass kwa match, Bruno, DE Bruyne na Grealish.

Je Unafikiri kutoa Keypass 3 kwenye match Moja ni Jambo Dogo?

Na link ya source ni ipi? Picha Picha kila mtu a naweza edit zake.
Mzee mbona unahama hama sana? Hauiamini source yangu yet unatumia contents zake kuniuliza maswali.

Source yangu ndiyo imekurekebisha wewe juu ya fornation. Mimi nimeelezea why hakua LWB wewe unakujs kuniuliza maana ya key pass? Haya ni masikhara
 
Nyie mnaosema City tunaviporo vigumu

Nawaonea huruma, niwambie tu sisi tunakula yeyote anayekuja mbele

Everton tunampiga goli za kutosha

Villa tunampa kipondo cha hatari

Tutakuwa full mkoko, no Corona ,vyombo vyote ndan

Mtabaki mnaomba dua la kuku, huku mkimlaumu ole na Mungu wenu

Kesho tu tunawanyoosha

Kesho utd hanaa uwezo wa kumfunga City

Narudia tena, City tunamnyoosha utd kesho mpaka ole aombe pooooo
 
How about tumpotezee huyu mtoto maana hana jipya analofanya humu...Anashinda kwny uzi wetu na kazi yake ni kuandika ujinga tu!
Tumpotezee..
 
Mzee mbona unahama hama sana? Hauiamini source yangu yet unatumia contents zake kuniuliza maswali.

Source yangu ndiyo imekurekebisha wewe juu ya fornation. Mimi nimeelezea why hakua LWB wewe unakujs kuniuliza maana ya key pass? Haya ni masikhara
Sihitaji source yoyote sababu mechi nimeangalia Telles alicheza kama wing back na hata source yako inaonesha kama wing back. Na assume source yako ni ya ukweli 6+ by any means sio mbaya.

Nimekuuliza source sababu hio mechi telles alicheza vizuri zaidi ya Hivyo, hata source yako inajichanganya na sababu nimekupa hio ya Key pass.

Na Kuna kazi gani kuweka source kwanini unaZungusha huku na kule?
 
Back
Top Bottom