Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mashabiki aina yako huwa siwaelewi kabisa, sijui ni utoto.
Kipi kinakupa uhakika wa kufungwa na Arsenal?
Hao Liverpool walisha kudhalilisha lini kimpira?
Hivi kunaulazima gani kuipenda Manchester United?
Watoto wa dogo munazingua kinoma.
Ungekua karibu ningekupa mbata hilo, mpaka wazazi wako wangenisusia nikulee.
kwn huyo naye ni man u? Mbn ana roho ya kimgambo mgambo.
 
Hapa nilichogundua ubingwa upo wazi kwa timu zote 11 arsenal kazidiwa point 10 tu na kiongozi wa ligi akikaza na haya matokeo yake anayopata anaweza kufanya jambo ila hatakiw kupoteza mchezo kuanzia sasa nakumbuka last season manchester united alizidiwa na chelsea point 18 kuingia top 4 alizikata had chelsea alikamatwa
Sio Arsenal mkuu, usiihesabie kabisa na ukitaka kuamini save hii comment.
 
- Kwa kipindi hichi Bruno.

- Timu kua bloated na wachezaji wasio na namba siyo dalili ya kua timu kubwa. Ni dalili ya kocha na benchi la ufundi kutojua nini kinahitajika kwa kesi ya man u ni DOF.

- Regardless. Netizens na wachambuzi wakasema man u inahitaji striker and boom ighalo huyu hapa.
So una suggest timu zote Uingereza ziache kuwa na wachezaji 24 badala yakw ziwe tu na wachezaji 11?
 
Hahaha chief ungeangalia kwa karibu ungenotice chief mkwawa alisema kuhusu telles kuchezeshwa wingman.

Hiyo mechi telles performance yake haikua nzuri ndiyo maana nikaulizia work rate.

Halafu straight up umedai nina matatizo. Huyo ni wewe sasa
Nimesema Telles amechezwa Wing back, na ndio perfomance yake kubwa ilipoanzia huko against psg. Shaw alicheza kama beki wa kati kushoto na Telles kama wing back wa kushoto.

Hebu lete ushahidi hapa kwamba hakuwa perfomance nzuri.
 
Karibuni, sasa hivi sina expectations zozote na timu yangu, napokea inachonipa.
Usikate tamaa Mkuu, ninachoona ni kuwa wachezaji wenu wamechoka inatakiwa wafanyiwe mzunguko kwa kupumzishwa japo safari bado ni ndefu lakini lolote linawezekana chini ya Klop na mzuka wenu wa motisha wa Liverpool FC "YNWA"

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Sina sababu ya kujipa msongo wa mawazo kwa kitu nisichoweza kuki-control.

Mimi ni mshabiki ambaye muda ukifika huwa nakuwa mkweli wa nafsi yangu, sitaki kujidanganya wakati wanachonipa nakiona.

Last season nilikuwa naangalia mpira huku nina matokeo mfukoni, na hawakuwahi kuniangusha. This season tunalipia ile nguvu iliyotumika msimu ule.
 
Nimesema Telles amechezwa Wing back, na ndio perfomance yake kubwa ilipoanzia huko against psg. Shaw alicheza kama beki wa kati kushoto na Telles kama wing back wa kushoto.

Hebu lete ushahidi hapa kwamba hakuwa perfomance nzuri.
Mnafungwa 3 na psg telles workrate yake ilikua ni 6.4 wakati fred aliyetoka kwa red ilikua 6.0 hii workrate yake ilikua sawa na de gea lakini ni ndogo kuliko wachezaji wote wa ndani.

Katika ile game telles alifanya clearance moja tu.

Tackles 2.

Dribbled past 2.

Katika ground duels 7 alishinda 3.

Alifanya aerial duel 1 tu.

Alipoteza possession mara 17.

Alifanya faulo 2.

Alipiga krosi 8 ila 2 pekee zilienda golini.

Au siyo game hii?
 
Mzee clicks? Humu?

Nimetaja wachezaji wengi na unamuongelea de beek pekee. Umetaja games alizocheza sasa bro imekuaje haanzi tena?

Same ilikua kwa ighalo, he came akacheza kidogo kisha yupo benchi.

Unawataja telles na cavani kama waokoaji. Kwa cavan kws umri wake ni sawa, telles umri wake ni wa kumconsider aje kama sub ya kuokoa game? Workrate ya telles, LB, alivyocheza wingman mlijudge vipi humu?
Uwe unazungumzia na Arsenal mkuu.
 
Mnafungwa 3 na psg telles workrate yake ilikua ni 6.4 wakati fred aliyetoka kwa red ilikua 6.0 hii workrate yake ilikua sawa na de gea lakini ni ndogo kuliko wachezaji wote wa ndani.

Katika ile game telles alifanya clearance moja tu.

Tackles 2.

Dribbled past 2.

Katika ground duels 7 alishinda 3.

Alifanya aerial duel 1 tu.

Alipoteza possession mara 17.

Alifanya faulo 2.

Alipiga krosi 8 ila 2 pekee zilienda golini.

Au siyo game hii?
Psg 3 man utd 1 telles alikuwa wing back?
 
"I hear now that Manchester United had more penalties in two years than I had in five and a half years. I've no idea if that's my fault, or how that can happen." Liverpool Manager

Naona Klop tabasamu linamuishia, anahisi pressure. Asubiri January 17.
 
Frasturation

Tuna penalty 1 zaidi ya liver msimu huu

Sisi 6 wao 5, na Leicester anaongoza Ana 10.

Na kabla Ya Var 2015 mpaka 17 liver walipata penalty za kutosha tu. Sisi misimu 3 penalty 10 tu.
 
Back
Top Bottom