Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Moises Caicedo naona yupo karibu na Man Utd hadi amelike post ya United Insta inaweza ikawa ishara nzuri
20210104_105626.jpg

Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
 
  • Arteta atamwadhibu kwa mara ya 3 Ole gunnar
  • Liverpool watatudhalilisha kimpira
Mashabiki aina yako huwa siwaelewi kabisa, sijui ni utoto.
Kipi kinakupa uhakika wa kufungwa na Arsenal?
Hao Liverpool walisha kudhalilisha lini kimpira?
Hivi kunaulazima gani kuipenda Manchester United?
Watoto wa dogo munazingua kinoma.
Ungekua karibu ningekupa mbata hilo, mpaka wazazi wako wangenisusia nikulee.
 
mkuu hawa watoto ni wa kuwapotezea..hawajui wanaongea nn hao
 
Man Utd kumfunga Liverpool ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano

Na ndio utakuwa mwisho wa kupiga domo humu

Mwisho wenu ni tarehe 17 mwezi huu

Anfield inaenda kuwazima
 
Kwanza aanze kumtuliza Soton leo, la sivyo game yetu na wao ndio tunatangaza ubingwa.
Man Utd kumfunga Liverpool ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano

Na ndio utakuwa mwisho wa kupiga domo humu

Mwisho wenu ni tarehe 17 mwezi huu

Anfield inaenda kuwazima
 
Back
Top Bottom