Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Du! Bado nina jezi yenye jina lake huyu Mwamba, nilimkubali sana.Tuendelee kunywa mtori, nyama zipo chini.View attachment 1667554
Huyu ni upcoming, scouts wetu wamependekeza jina lake, ManUtd imeamua kurudi ktk falsafa zake, kusajiri vijana wenye talent kubwa ikiwezekana hata bei kubwa, club imelipa zaidi ya 35pounds kwa Amad, so utaona club kuna kitu wamekiona miguuni kwa dogoAtapata namba kweliView attachment 1667727
Dogo hana kosa, Borrusia waliweka price tag kubwa sana kwa dogo, tukashindwa patanaDogo bhana kajiharibia mwenyewe chance kama hii haiji mara mbili View attachment 1667752
1. Van de beek kacheza mechi zote 6 za Uefa champions leagueHivi vitu vingine vinawezekanaje?
Man u inamsajili de beek kisha internet inalipuka kuuliza atacheza wapi. Mtu unaamini kocha anajua mahitaji yake, anajua kwamba huyu atanisaidia wapi so hakuna namna usajili mpya utalamba benchi.
Anafika. Anacheza mechi mbili kutokea sub moja anaanza na kutolewa katikati ya game kisha hapa na pale halafu anarudishwa benchi.
Ighalo tayari ana uchumba na benchi, de beek ndipo anaelekea, telles no comment na cavani yupo tayari kupambana. But so are all of other bench warmers.
Unacheki game unaonyeshwa benchi unamuona de beek anang'aa uso. Sometimes wachezaji wenyewe wana shida, mfano samata, angeweza kwenda la liga na akapafom decently ila akaenda Villa same kwa de ligt, pepe na wenzao.
Unaenda timu kubwa then hutaki kujituma enough ni shida, shida kubwa ni unapojitoa ila kocha hajui akufanye nini
Nakubali Sana chambuzi zako mkuu.1. Van de beek kacheza mechi zote 6 za Uefa champions league
2. Kacheza mechi zote 3 za Efl
3. Epl kaanza 2 na sub mechi 8,
So far mechi 19, amecheza na hata kati kati ya msimu hatujafika, plus Tuna Europa na Fa cup.
Amekuja kama depth na ameifanya kazi yake ipasavyo.
Telles na cavani same so far wametimiza majukumu yao na lengo la kusajiliwa kwao tumemuona cavani akituokoa mechi kibao, Telles kajitahidi vya kutosha kama wing back na hata alivyoumia shaw alicover beki wa pembeni vizuri tu.
Jiulize swali moja timu kama Man city na Liverpool pamoja na kuwa na wachezaji walio fit kwanini majeruhi muda wote? Chelsea, Arsenal, Everton, westham etc wote ni majeruhi wa kutosha,
Then njoo Man U msimu uliopita Muda kama huu lingard na perreira wanaanza sababu ya majeruhi, ila sasa hivi timu nzima ipo fit majeruhi kwa key players Hakuna, unafikiri ni coincidence? Yote hii ni hao kina Ighalo, VDB, Cavani na Telles mnaowabeza,
Uchambuzi uchwara pekee unaotaka clicks ndio hautoona umuhimu wao.
Hivi vitu vingine vinawezekanaje?
Man u inamsajili de beek kisha internet inalipuka kuuliza atacheza wapi. Mtu unaamini kocha anajua mahitaji yake, anajua kwamba huyu atanisaidia wapi so hakuna namna usajili mpya utalamba benchi.
Anafika. Anacheza mechi mbili kutokea sub moja anaanza na kutolewa katikati ya game kisha hapa na pale halafu anarudishwa benchi.
Ighalo tayari ana uchumba na benchi, de beek ndipo anaelekea, telles no comment na cavani yupo tayari kupambana. But so are all of other bench warmers.
Unacheki game unaonyeshwa benchi unamuona de beek anang'aa uso. Sometimes wachezaji wenyewe wana shida, mfano samata, angeweza kwenda la liga na akapafom decently ila akaenda Villa same kwa de ligt, pepe na wenzao.
Unaenda timu kubwa then hutaki kujituma enough ni shida, shida kubwa ni unapojitoa ila kocha hajui akufanye nini
Mzee clicks? Humu?1. Van de beek kacheza mechi zote 6 za Uefa champions league
2. Kacheza mechi zote 3 za Efl
3. Epl kaanza 2 na sub mechi 8,
So far mechi 19, amecheza na hata kati kati ya msimu hatujafika, plus Tuna Europa na Fa cup.
Amekuja kama depth na ameifanya kazi yake ipasavyo.
Telles na cavani same so far wametimiza majukumu yao na lengo la kusajiliwa kwao tumemuona cavani akituokoa mechi kibao, Telles kajitahidi vya kutosha kama wing back na hata alivyoumia shaw alicover beki wa pembeni vizuri tu.
Jiulize swali moja timu kama Man city na Liverpool pamoja na kuwa na wachezaji walio fit kwanini majeruhi muda wote? Chelsea, Arsenal, Everton, westham etc wote ni majeruhi wa kutosha,
Then njoo Man U msimu uliopita Muda kama huu lingard na perreira wanaanza sababu ya majeruhi, ila sasa hivi timu nzima ipo fit majeruhi kwa key players Hakuna, unafikiri ni coincidence? Yote hii ni hao kina Ighalo, VDB, Cavani na Telles mnaowabeza,
Uchambuzi uchwara pekee unaotaka clicks ndio hautoona umuhimu wao.
Wewe jamaa unamtajaga tajaga Ighalo utadhani amekulipa..Huyu aliletwa tu kusukuma siku mbili tatu hakuletwa awe key player wetu bali kuongeza tu depth,ndo maana alikuwa anacheza sana huko Europa league ..na january hii anarudi huko China.Hivi vitu vingine vinawezekanaje?
Man u inamsajili de beek kisha internet inalipuka kuuliza atacheza wapi. Mtu unaamini kocha anajua mahitaji yake, anajua kwamba huyu atanisaidia wapi so hakuna namna usajili mpya utalamba benchi.
Anafika. Anacheza mechi mbili kutokea sub moja anaanza na kutolewa katikati ya game kisha hapa na pale halafu anarudishwa benchi.
Ighalo tayari ana uchumba na benchi, de beek ndipo anaelekea, telles no comment na cavani yupo tayari kupambana. But so are all of other bench warmers.
Unacheki game unaonyeshwa benchi unamuona de beek anang'aa uso. Sometimes wachezaji wenyewe wana shida, mfano samata, angeweza kwenda la liga na akapafom decently ila akaenda Villa same kwa de ligt, pepe na wenzao.
Unaenda timu kubwa then hutaki kujituma enough ni shida, shida kubwa ni unapojitoa ila kocha hajui akufanye nini
Kwahiyo hautaki atajwe?Wewe jamaa unamtajaga tajaga Ighalo utadhani amekulipa..Huyu aliletwa tu kusukuma siku mbili tatu hakuletwa awe key player wetu bali kuongeza tu depth,ndo maana alikuwa anacheza sana huko Europa league ..na january hii anarudi huko China.
Unamtajaga kama vile ni mtu fulani ana potential kubwa kinoma..sisi tushamsahau kabisa na hakuna namna anaweza kukaa hata SUB..standard zinatengenezwa kakaKwahiyo hautaki atajwe?
Unaweza kuthibitisha maneno yako kwamba ighalo alikuja akaanza kucheza then akakaa benchi?Mzee clicks? Humu?
Nimetaja wachezaji wengi na unamuongelea de beek pekee. Umetaja games alizocheza sasa bro imekuaje haanzi tena?
Same ilikua kwa ighalo, he came akacheza kidogo kisha yupo benchi.
Unawataja telles na cavani kama waokoaji. Kwa cavan kws umri wake ni sawa, telles umri wake ni wa kumconsider aje kama sub ya kuokoa game? Workrate ya telles, LB, alivyocheza wingman mlijudge vipi humu?
Ok unataka nani atajwe?Unamtajaga kama vile ni mtu fulani ana potential kubwa kinoma..sisi tushamsahau kabisa na hakuna namna anaweza kukaa hata SUB..standard zinatengenezwa kaka
Kuna sehemu nimesema ighalo au nani kaanza wapi?Unaweza kuthibitisha maneno yako kwamba ighalo alikuja akaanza kucheza then akakaa benchi?
Ighalo hajaanza mechi hata moja msimu uliopita ya ligi, ila ameanza cup competitions za kutosha Europa na Fa, alisajiliwa kuwapumzisha striker zetu na mechi ndogo ndogo na ni kazi ambayo ameifanya.
Msimu huu tulianza Uefa na ligi na mechi Chache za Carabao, kipindi cavani haja integrate kikosi cha kwanza tulicheza Carabao mechi 2 na zote ighalo amecheza, Hivyo tena ametimiza majukumu yake.
Hakuna aliemsajili Ighalo kuwa kama Harry Kane ama vardy, hizo ni Illusion zenu tu.
Nimekwambia Europa na Fa zinakuja soon utamuona VDB anaanza tena.
Kwani Telles wakati anakuja man U alikuwa hajui tuna Luke shaw? A nafahamu fika na ameshajiandaa na Hilo.
Na haters ni Haters tu Angeanza Tellez mechi zote na shaw benchi pia mungeongea.