Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Jamaa wanadai dau lililokuwa likisemwa mitandaoni si la kweli lilikuwa halifiki huko. Wanadai kilichofanya Man U washindwane nao ni length ya kipindi cha kufanya malipo waliyoipendekeza wao DortmundDogo hana kosa, Borrusia waliweka price tag kubwa sana kwa dogo, tukashindwa patana
assume we ndo kocha wa Man U, una option ya kumuanzisha Bruno na VDB utamuanzisha yupi?Kuna sehemu nimesema ighalo au nani kaanza wapi?
Unamaanisha de beek kiwango chake ni cha fa?
Unanilisha maneno. Nimekuuliza workrate yake kama wingman ikoje? Wewe unaniuliza kama hakujua shaw kama yupo.
Mbona unajiundia maneno
Winter is there already brother, nyumba inaungua kwenu kule,Winter is coming.
The longer the summer, the longer the winter. So, enjoy the summer while it is lasting.
Winter is there already brother, nyumba inaungua kwenu kule,
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Man city akishinda izo game zake 2 anakua na point 35,kazi ipo kwa liva mwaka huu
Hakuna kitu pale, kisa kamfunga Chelsea ambayo hata kuku aliyekuwa kashajifia kwa udondo/Arse8 alijipigia 3-0 hivi karibuni na kufufukia hapo? Man City alikutana na timu dhaifu yenye vipaji bora vya wachezaji kila idara lkn Kocha Lampard hakuwa na mbinu zozote kiushindi.Maake naona tunawawazia Liva tuu wakati Guardiola gari imewaka
Mwenye nacho ni tofauti na anayetafuta au anayedai, wakati mwingine viporo huchacha kama chenu kilivyochacha na kulingana pointi na Liverpool badala ya kushinda na kumpita pointi.Man city akishinda izo game zake 2 anakua na point 35,kazi ipo kwa liva mwaka huu
Kila la heri maana mi ni Mshabiki wa Chelsea niliyejiandaa kuvumilia maumivu lkn nitafurahi sana mkikaa pale kileleni hadi kutwaa ubingwa wa EPL 2020/21 sababu washabiki wa Arse8 wana midomo michafu sana, nanukuu "Arsenal ndiyo kwaaaanza tumeanza ligi na tutabeba kombe la EPL 2020/21" baada ya kushinda mechi 3 mfululizo.Jogoo amechinjwa huko sasa nafasi iko wazi pale juu.
Inabidi sasa tuonyeshe umwamba.
Piga Burney..Piga Liverpool.. tunawapita kwa 6points ..Mziki unabaki City