Hakika mkuu,labile ni world class player
Lindelof anajua Baily atampisha mwenyewe tu kwa kuomba sub..Victor kazi anayo naona bailly means business this time, Rashford sijui kawaje leo anacheza ujinga tu anaingia kwa 18 anapiga kama under 14.
Lile goli dah uzembe sana mpaka bailly alikua anaonesha mikono wakammark Jack lakini hola mpaka kapeleka madhara, POINT 3 NDO MUHIMU
Jack msumbufu sana mpuuzi yule A. Villa wako vizuri sana msimu huu yani wamepindua meza kibabe sio wepesi kabisa.
Kkkkkk Mkuu!!!Dogo aje ngoja tuende kwny page ya Man huko tukawajaze watu upepo
Ni selfish sana rashford,,Akiacha ujinga ni mchezaji mzr sn.
Every game is a final mkuu..Inabidi game zingine anapumzishwa mfano game ya burnely na Watford inbid apumzike amsubiri liva
Kabisa mkuu.Rashford nimemmaindi leo.
Kingine kocha aache sub ya bruno asee mechi ikiwa imelemewa alafu unaacha chizi rashford ndani.
Anyway nimefurahi sana. Wikienda itakuwa mrua sasa.
Kabisa mkuu...El matador hii game angeimaliza mapema sana
Huyo ni fundi sana.Huu ndio usajili ambao timu yetu inatakiwa kuufanya chap
Hakika mkuu,,ila Bruno mwenyewe kampa beilly man of the match.Bailly wamemnyima tu
Na Leo ole amesema sasa man u tupo kwenye kugombea kombe..Sahivi team inacheza kwa kujituma aisee hii game nilikuwa naigopa atari
Duu!!! Aisee!!!
Sio mtu na nusu pekee ,,Bali ni mtu mbili kasoro.Kuna mtu nilimwambia humu huyu jack ni mtu na nusu akasema wa nini yule ni hatar sana mpira wenyewe kumpora ni shughuli
Rashford not yet a finished article like LewandoskiJana insta kulikua na kumfananisha Bruno na Kimmich.
Katika game 48 Bruno ana assisst 16. Katika hizo game 48 Kimmich ana assisst 21. Bruno ni kiungo mshambuliaji na Kimmich ni kiungo mkabaji.
So kwenye karatasi inatakiwa imaanishe Kimmich anaweza kazi ya kuwalisha washambuliaji kuliko Bruno ila katika uhalisia inakuja hivi Kimmich anampa pasi Lewandoski, Muller au Gnabry wote hawa ni clinical finishers halafu Fernandes anampa pasi Rashford, Martial, Greenwood au Ighalo.
Bruno angekua Bayern angekua na assisst zaidi ya Kimmich simply kwakua ukimpa Lewandowski pasi 5 anaweza akakosa moja au mbili. Rashford ukimpa pasi tano anaweza akakosa zote.
Same ilikua kwa Ronaldo msimu uliopita wakasema ni mbovu kwa assisst na yeye ilikua hivi hivi, ukicheki game unaona anatoa pasi ila watu wa kufunga ndiyo hakuna.
Ile post ilimkosea heshima Bruno.
Niliwaza sana hicho kitu. Hivi hizo training ni za kutafuta pumzi tu?Shaw ajirekebishe kupiga ile mipira anayopitishiwa.. yote anapiga kwenye miguu ya mabeki.
Hata kukata v-pass anashindwa?.. au kunyanyua kidogo watu wavuruganane wenyewe.
Huwa wanajifunza mazoezini kucopy na kupaste afanyayo Cavan.Martial amepiga kicavani kabisa header ile sio kawaida yake.
Soon ataungana na seniors man u.Hivi yule dogo dialo bado hajaja anafaa sana pembeni