Ukweli ni kwamba ole anafeli kupick wachezaji kuendana na fixture husika.
Ole anawachezaji wake anaowapenda ambao wanamgharimu maana inaonyesha hata kuwakaripia hawezi.
Mtu kama martial bila kificho ole ana mpenda sana, chunguzeni martial akishinda huwa anashangilia sana kuliko wachezaji wengine.
Nilichoka ile game ya psg penalty alipewa apige yeye wakati rashford ana goals 2 tayari.
Mimi binafsi naona ni heri aanze ighalo kuliko martial endapo cavani ni mgonjwa.
Bruno anatubeba sana ila atachoka atapoteza hari aliyonayo kwa sasa kama tutaendelea hivi
Bruno binafsi anaenjoy cavani akiwa uwanjani kuliko martial .
United tunauwezo wa kushinda goals hata 5 kila mechi tunazocheza kutokana na nafasi za wazi tunazozikosa,