Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Kwenye game tano za PL wameshinda moja,draw moja na kufungwa tatu..Hawapo form in my opinion
LLWLD...hii haiwezi kuwa form
Nakupata, niliangalia game zake dhidi ya Arsenal, Chelsea na juzi Tottenham.
Nikaona kama wako vizuri, unfortunately wanafungwa na timu ndogo ndogo.
Ngoja tuone itakuwaje game yenu.