Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo ushindi ni muhimu kuliko siku zote.
Sorskjaer asituangushe, apange nondo za kweli.

Leo aingie na 4 2 4 1

Cavani
Martial Pogba Fernandez Rashfood
Fred Mac Tomney
Show Bailey Maguire AW Bissaka

Degea.

Kikosi hichapo ata nyumba ya urithi naweka bondi.
 
★Probable line-ups★

#MUNWOL
#GGMU

manutd |
IMG_20201229_111547_052.jpeg
 
★Solskjær: "It was the first thing he [Cavani] asked me, if he could wear the number seven.".★

#GGMU

manutd |
IMG_20201229_111359_027.jpeg
 
Wolverhampton

Tuanze kuweka maturubai au hadi mgonjwa akate moto mazima
 
Nawambie tu mkiona Man City tumekamata usukani hapo juu, basi mtabaki mnalia nyie na ole na Mungu wenu

Ndio epl itakuwa inaenda etihad namna hio


Hata Kama zitakuwa zimebaki game 10 ,city tukisimama kule juu, mtabaki mnaombea kufugwa sisi tunatoboa tuu
Mshakamata?
 
Matchday.

Tumekuwa bottling masters..Kila inapotokea nafasi ya kujichimbia nafasi ya juu kwa mara nyingi tumekuwa tukipoteza hizo chances.

=======

My XI against Wolves..Today 23:00 EAT


Henderson

AWB Bailly Maguire Shaw

Fernandes Fred Pogba

Greenwood Cavani Rashford

----

✓Kama AWB bado hayupo fit Tuanzebe acheze na aambiwe yeye sio mtoto acheze kiutuuzima

✓Pogba aambiwe akiwa deep acheze simple..

✓Defence pia bado inabidi i-stepup,not good enough.

======

GGMU
Ila leo timu yetu inashinda mkuu
 
Leo ushindi ni muhimu kuliko siku zote.
Sorskjaer asituangushe, apange nondo za kweli.

Leo aingie na 4 2 4 1

Cavani
Martial Pogba Fernandez Rashfood
Fred Mac Tomney
Show Bailey Maguire AW Bissaka

Degea.

Kikosi hichapo ata nyumba ya urithi naweka bondi.
Inabidi Mbweha wawe kumi ili kubalansi idadi ya wachezaji uwanjani.
 
Jinsi ligi inavyokwenda ni changamoto waweza kuwa wa pili leo kisha game inayofuata ukipoteza unakuwa wa saba wacha hawa wolves tuwakalie vizuri kitaeleweka
 
Leo ushindi ni muhimu kuliko siku zote.
Sorskjaer asituangushe, apange nondo za kweli.

Leo aingie na 4 2 4 1

Cavani
Martial Pogba Fernandez Rashfood
Fred Mac Tomney
Show Bailey Maguire AW Bissaka

Degea.

Kikosi hichapo ata nyumba ya urithi naweka bondi.
4 2 4 1 ndiyo formation gani hii? Mbona unatia aibu we mluguru
 
Hapana kumbe hao wote walisajiliwa na Crystal Palace
Cavani na ighalo wapo kwenye mipango ya muda mrefu?

Pellistri na traole wamecheza mechi ngap timu ya kubwa? Unajua kwa nn wamesajiliwa?

Huwez kudhamiria kuchukua ubingwa wakat una watu wa mipango mifupi ukiwa unajenga timu ndio maana nimekuuliza ile post ya mtu wa mpira?
 
Nafeel hivyo pia..Wolves hawapo kwenye ule ubora wao tuliouzoea..tukishindwa kupata points tatu itakuwa ni mwendelezo wa upumbavu kutoka kwetu

Umewaangalia mechi 5 zilizopita?

Jamaa wako vizuri, nilitegemea wateseka baada ya Jiminez kuumia, lakini wameendelea ku-maintain form yao.

Hawakuanza vizuri lakini wamekuja kukaa sawa mbeleni huku.
 
Back
Top Bottom