Matic anakaba ila Pogba shida. Pogba angecheza nafasi ya Greenwood afu Matic akacheza na TomMwalimu amefanya gambling Kwa Pogba na Matic...hawana Kasi na ukabaji wao ni dhaifu
3 points clear.
Tatizo Matic.
Hilo la Pogba na Matic leo litaicost team tena mapema sanaKikosi kizuri ingawa huwa sipendi sana pogba na matic wakicheza pamoja hapo kati ni wazito sana wote, ila anyway let's do this.
Leo tuna attack zaidi mkuu,,Mwalimu amefanya gambling Kwa Pogba na Matic...hawana Kasi na ukabaji wao ni dhaifu
Namkubali sana HendersonHuyu de gea huyu cjui kama atatoka na klin shiti Leo..
Ole step son T-shirt no 9kajamaa kavivu ni kanani hako![]()
Ushindi leo mkuu mapema tu,,toa hofu..Tatizo Matic.
Hi game tunapigwa au Suluhu. Mbele sawa ila katikati ndio shida
Sawa ndugu sheikh yahyaLeo tunashinda tatu moja
#GGMU #GGMU
Matic yuko poa tu, shida hapo kwa Pogba, huwa ana mood, kuna siku anashindwa kabisa. Lakini ingekuwa mmoja hapo atoke awepo Fred au Tominay ingekuwa moto sana.Tatizo Matic.
Hi game tunapigwa au Suluhu. Mbele sawa ila katikati ndio shida
Pogba angekaa bench na Matic, Mctominey na Mata wangeanza.Matic anakaba ila Pogba shida. Pogba angecheza nafasi ya Greenwood afu Matic akacheza na Tom
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Afu Kati jamaa wamejaza viungo wengi Sana...United huwa wanastruggle na timu za kujihami Sana ngoja leo tuoneTatizo Matic.
Hi game tunapigwa au Suluhu. Mbele sawa ila katikati ndio shida
Mzee amenunua sana games kipindi hiko