Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Bruno ni captain.Vijana kudondosha points kizembe kumeanza kuwauma, so tutarajie big reactions next gameView attachment 1660271
Maguire ni mpuuzi flani overrated.
Bruno ni captain.Vijana kudondosha points kizembe kumeanza kuwauma, so tutarajie big reactions next gameView attachment 1660271
we jamaa n mchawiMy prediction
Liverpool 1-1 WestBrom (FT)
BTTS
U2.5
Hapo ndiyo mtajua hii ligi haitabiriki kabisa



Hii mechi niliwaambiaMy prediction
Liverpool 1-1 WestBrom (FT)
BTTS
U2.5
Hapo ndiyo mtajua hii ligi haitabiriki kabisa
Haya matokeo nayakataa kabisaMy Prediction
Everton 2-0 Manchester City (FT)
No BTTS
U2.5
Hapo ndiyo mtajua ligi hii haitabiriki kabisa na Ole hana hatia
United kwa sasa shida siyo wachezaji bhana. Shaw tunamwandama sana il siyo mbaya kiivo.Ndio maana nasema hakuna kocha mpya atakaepata vikombe akiwa na wote hao James,Lindelof,Shaw,Martia,Bissaka.
Nakubali utetezi wako kwa kuwa hawa ndio tegemeo lkn hata Bunley hawapati namba
Unachekaaa!!!!Hahahahahahahahahhahahahahahahahah
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah
Hii mechi niliwaambiaView attachment 1660861View attachment 1660862
Unampumzisha best players kwenye game ya Leicester City?Hapo numero 3, me nipo pamoja na kocha.
Me nadha anafanya hivyo sababu ya upana wa kikosi na pia kuwapumzisha wachezaji.
First half mbona vijana wa Big Sam walikuwa wanacheza kama wana funza miguuni?Hongera mkuu, yaani nilivyoona spidi ya game first half, nikajua utabiri wako utatimia.
Wewe na Wahindi wa kubet mna ukoo?Hii mechi niliwaambiaView attachment 1660861View attachment 1660862
First half mbona vijana wa Big Sam walikuwa wanacheza kama wana funza miguuni?
2nd half ndo wamewasha moto na wangeweza hata kushinda hii gemu.
Nimekupata mkuu..Nazungumzia jinsi Liverpool alivyocheza, hakuonesha kama ana nia ya ushindi.
Maana jamaa hawakucheza kabisa first half, ndo nafasi ya magoli ilitakiwa.
Nimekupata mkuu..
Big Sam mjanja sana,amekuja anfield kwa lengo la first half kupaki basi asifungwe..bahati mbaya akafungwa moja..2nd half akafungulia mbwa na pressure ikaanza kupanda upande wenu dakika zilivyokuwa zinakatika,na hatimaye akapata equilizer..Proper game management
Mpira ni matokeo mkuu,,sio chenga twawala.Liverpool yupo vizuri sahivi. Wakiwa uwanjani wapo na objective inayoonekana.
Mpira unaocheza unaonekana.
Sancho si sababu mkuu,,Majembe yapo nje unaanza na substandard players.
Hatuna recovery plan mpira ukipotea.
DeGea ni uchochoro sahivi. Alitakiwa akae bench ila mpaka sasa ndo first eleven.
Defence ni upuuzi mtupu. Ila mpaka leo mambo ni yaleyale.
Kwahiyo Sancho kutokuwepo ndo iwe sababu ya sisi kutofanya vizuri?