Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa uwelewa wangu mdogo wa mambo ya soccer, naweza sema jana umetuangusha mfumo 3 4 1 2.

Huku nyuma Lindolof alikua hapandishi timu kama mwenyewe Aron Wan Bissaka.
Jems nae vile vile, hakucheza vizuri, kwahiyo upande wa kulia hatukua vizuri.
 
My Prediction

Everton 2-0 Manchester City (FT)
No BTTS
U2.5

Hapo ndiyo mtajua ligi hii haitabiriki kabisa na Ole hana hatia
 
Jamaa ni motivational sana. Anastahili kiukweli
Mkuuu sijajua kigezo gan kinatumika siku hizi ila post za mtandaoni ni tofauti kabisa na uwanjan

Kapten ni mtu mwenye mapenzi na tim na mara nyingi alikuwa anapewa mtu mwenye muda mrefu kwenye club.. baada ya Ashley Young kusepa sielewi ukapten wanpeanaje.

kwanza ilkuwa ni heshima na kuthamin mchango wake kwa muda mrefu ndani ya timu..

Hata akiingia kavaa kitamba moyoni unasema Yes mwenye timu anaingia
 
Yea kweli ila siku hizi naona timu nyingi ni ama ipigwe kura au kocha anapoint tu anayemtaka ili imfanye mchezaji husika awe committed na timu.
Mkuuu sijajua kigezo gan kinatumika siku hizi ila post za mtandaoni ni tofauti kabisa na uwanjan

Kapten ni mtu mwenye mapenzi na tim na mara nyingi alikuwa anapewa mtu mwenye muda mrefu kwenye club.. baada ya Ashley Young kusepa sielewi ukapten wanpeanaje.

kwanza ilkuwa ni heshima na kuthamin mchango wake kwa muda mrefu ndani ya timu..

Hata akiingia kavaa kitamba moyoni unasema Yes mwenye timu anaingia
 
I need to know more about your Index.
Nilitengeneza simple mathematical model based on 4 indexes; Coaching years, rate of winning, number of times attending major competitions (UCL) and budget spent on their teams kwa walimu wote watatu (Julian, Ole & Mauricio).

Baada ya hapo nikatengeneza pairwise comparison matrix halafu nikatumia Analytic Hierarchy Process (AHP) kuchakata data kwa kutumia Expert Choice software.

Kitu pekee ambacho sikujumuisha ni game management skills nilikuwa sipati accurate data kwa kila kocha. Binafsi bado nilim-rank Ole chini hapa kumlinganisha dhidi ya Julian na Mauricio.

Hapo mimi nilifanya uchambuzi wa haraka haraka baada ya PTER kuniuliza swali jana nitaje kocha gani anaweza kufaa, nilitumia hizo index chache ili nitoe jibu ninaloweza kulitetea kwa namba bila kuweka human perception.

Japo nilifanya juu juu ila ni njia nzuri sana kupata kocha mzuri na hata wachezaji wazuri bila kuangalia majina una-deal na namba tu. Hapa unaweka kila kitu ktk mlinganyo wako hata vigezo 100.

Hii njia ndiyo inayotumika na Liverpool kwa sasa hata Jurgen Klopp alipatikana kwa njia hii hii na mtu ambaye hakuwahi hata kuangalia Bundesliga hata mechi moja ya Klopp anaitwa Ian Graham ( Director of research, Liverpool).
 
Back
Top Bottom