Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jana kuna mda camera zilienda kumulika benchi la man u, yn mafundi karibu wote wapo nje aisee, kocha hana first eleven mpk leo duuhh.
Inashangaza sana mkuu,,mm Nina imani kama ole akiwa serious hili kombe la EPL linakwenda old Trafford..
Sababu kama angeshinda Jana na kushinda kiporo tunaongoza ligi.

Je kuongoza ligi isingetosha kutupa confidence ya kutwaa ubingwa?
 
Hadi wakina moize kean wanapata namba? Psg alioachiwa na unai kaipoteza sana
Tuchele hakufukuzwa kwa sababu za timu kushuka Kiwango.

Baada ya PSG kufungwa na man u 2-1 kwenye eufa ,,hapo ndy ugomvi wa tuchele na leonardo director wa football PSG ulipoanza,,

Na ukazidi kupamba moto baada ya journalists wa France kumwandama jamaa anapaswa afukuzwe.

-PSG 2' nd ktkt msimamo wa leage 1,,
-- PSG bado ipo ktk 16 bora ya eufa champions league.

Sasa anatatizo gani?

Tuchele amefukuzwa siku 2 baada ya kufanya interview,.

Alihojiwa ktk interview sport 1,,na hiyo ndy inasemekana ni sababu ya tuchele kufukuzwa,,

Kuna vitu aliongea vikawaudhi mabosi wa PSG..

Sababu hata yeye mwenyewe pia aligoma kuongeza mkataba pale PSG,, kwa kisingizio kwamba uongozi wa PSG pamoja na journalists wa france hawamsupport.

Tuchele alibakisha miezi kadhaa mkataba wake kwisha mwanzoni wa mwaka ujao 2021.

Pia kitendo cha kumfukuza na kumlipa 10 millions euros ni cha kiuwendawazimu.kwa uongozi mzima wa PSG..

Ni bora wangesubiri hiyo miezi 6 iliyobaki iishe.
Screenshot_2020-12-27-12-02-52.jpeg
 
Litaenda old Trafford kama Liverpool watajitoa kwenye PL
Mkuu hivi hesabu zinakusumbuwa?
Tofauti ya man u na Liverpool ni points ngapi?
Kama man u angeshinda Jana na kumaliza kiporo kwa ushindi nani angeongoza ligi?

Ole hayupo serious na kombe lolote.
 
Mkuu hivi hesabu zinakusumbuwa?
Tofauti ya man u na Liverpool ni points ngapi?
Kama man u angeshinda Jana na kumaliza kiporo kwa ushindi nani angeongoza ligi?

Ole hayupo serious na kombe lolote.
Tatizo unaingilia Liverpool kwa mtazamo upi, mkuu angalia consistency hapo ndio utajua kuwa united siyo title contender
 
Tatizo unaingilia Liverpool kwa mtazamo upi, mkuu angalia consistency hapo ndio utajua kuwa united siyo title contender
Utasemaje man u sio tittle contender wakati tofauti ni point 1? kama akishinda kiporo maana yake ni tofauti hyo.

Hivi Liverpool ya mwaka Jana ndy hii ya Leo?
Mwaka Jana hadi sasa x mass mnatofauti ya points ngapi na anayekufatia kama sio points 6?

Liverpool ya mwaka huu hakuna kitu, ,mkuu.
Nyie ni wakusubiri huruma ya leceister city kumsimamisha man u? Ili muendelee kuongoza?

Last season by xmass ma u hata top 4 hayupo.
Leo unatofauti ya point 1 na bado kuna mechi lukuki zimebaki unajipa ubingwa wa mdomoni.

Nadhani hata kama kusoma hujuwi basi picha utazielewa.
Screenshot_2020-12-27-12-41-40.jpeg
Screenshot_2020-12-27-12-35-59.jpeg
 
Watu bwana,
Narudia tena- yabidi (hata kama hamtaki) kuyatambua mambo makali ya Arsenal- ni kuwa inatisha! Je mueleweshwe hadi lini ninyi watu muweze kutambua?
Kweli mkuu arsenal inatisha sana kwa mambo mazuri,,

Lakini nimetafuta sana hapo siioni,,ngoja nigeuze msimamo juu chini.
Screenshot_2020-12-27-12-35-59.jpeg
 
Shaw,Lindelof,Bissaka sio wachezaji wabaya na wanaweza kuwa kwenye timu ya Ubingwa..
Mchezaji asiyeweza hata kupiga kros kama Bissaka na uchochoro kama Shaw + Victor hawawezi kuwa kwenye timu yoyote ya ubingwa kama tegemeo.

Hakuna.. (Tuwatetee kulingana na uwezo wao)
 
Mkuu hivi hesabu zinakusumbuwa?
Tofauti ya man u na Liverpool ni points ngapi?
Kama man u angeshinda Jana na kumaliza kiporo kwa ushindi nani angeongoza ligi?

Ole hayupo serious na kombe lolote.

Wewe ambaye hesabu hazikusumbui tupigie hizo hesabu, ungeshinda ingebaki ngapi?

Na ungeshinda hicho kiporo nani angeongoza ligi?
 
Utasemaje man u sio tittle contender wakati tofauti ni point 1? kama akishinda kiporo maana yake ni tofauti hyo.

Hivi Liverpool ya mwaka Jana ndy hii ya Leo?
Mwaka Jana hadi sasa x mass mnatofauti ya points ngapi na anayekufatia kama sio points 6?

Liverpool ya mwaka huu hakuna kitu, ,mkuu.
Nyie ni wakusubiri huruma ya leceister city kumsimamisha man u? Ili muendelee kuongoza?

Last season by xmass ma u hata top 4 hayupo.
Leo unatofauti ya point 1 na bado kuna mechi lukuki zimebaki unajipa ubingwa wa mdomoni.

Nadhani hata kama kusoma hujuwi basi picha utazielewa.View attachment 1660247View attachment 1660248
Man u yetu kitu kinachoipa shida ni kufukia magep ya point ambapo wale wa juu yake wakipoteza point.

Point 1 sio kitu mkuu wakati uwezo wa kukaa juu hatuna, ukitaka ubingwa funga wapinzani wako(walio juu yako) mnapokutana Leicester, Liverpool, spurz AU Chelsea na City.. je tunaweza kuwafunga tukae juu yao?
 
defence ina madhaifu yake lakini hilo haliondoi ukweli ya kwamba safu yetu ya ushambuliaji nayo inashindwa kumaliza mechi muda sahihi.
Ole ni tatizo mkuu,,,atakwendaje Shamba kulima na kijiko wakati jembe kaacha nyumbani?

Hivi timu inakupa muunganiko mzuri,,na inashinda vzr,,
Kwanini anaibadilisha kila kukicha?

Tulipiga kelele hii top front na ikaleta mafanikio,,
Why haichezeshi?

Martial. Cavani.rashford.

Bruno.

Hiyo ndy top front yetu pendwa..tatizo nn?

Anatuwekea tofauti?
 
Man u yetu kitu kinachoipa shida ni kufukia magep ya point ambapo wale wa juu yake wakipoteza point.

Point 1 sio kitu mkuu wakati uwezo wa kukaa juu hatuna, ukitaka ubingwa funga wapinzani wako(walio juu yako) mnapokutana Leicester, Liverpool, spurz AU Chelsea na City.. je tunaweza kuwafunga tukae juu yao?
Yote yanasababishwa na line up mbovu,,ndy nikasema ole hayupo serious na tittle.
 
Hata tungeshinda na kiporo tusingeongoza ligi labda kama liverpool akidrop points game ya leo

Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app

Jamaa hata kujumlisha hajui, ila anawaambie wenzie kwamba hesabu zinawasumbua.

Hii ligi ni ngumu kwa timu zote, na ukiachwa point hata 2 kuzifidia siyo zoezi dogo. Unashinda mwenzio anashinda, unatoa droo na yeye anatoa droo.
 
Ole ni tatizo mkuu,,,atakwendaje Shamba kulima na kijiko wakati jembe kaacha nyumbani?

Hivi timu inakupa muunganiko mzuri,,na inashinda vzr,,
Kwanini anaibadilisha kila kukicha?

Tulipiga kelele hii top front na ikaleta mafanikio,,
Why haichezeshi?

Martial. Cavani.rashford.

Bruno.

Hiyo ndy top front yetu pendwa..tatizo nn?

Anatuwekea tofauti?
Martial kampa limbwata..
 
Back
Top Bottom