mkurya org.
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 1,571
- 1,696
Wakuu Jana Ni Kama Nilikuwa na bahati vile nyingine hii tena








Hadi wakina moize kean wanapata namba? Psg alioachiwa na unai kaipoteza sanaAlichoharibu nn mkuu?
Hana kipaumbele ole alitakiwa awe na under 23 kwa hizi selection fikiria timu kama liverpool orig hana namba sasa huku martial anapata namba unaweza kuona kiwango cha kocha anataka nini kwa wachezaj na timu shaqir hana namba james anauhakika wa kucheza tena mech muhimuKuna muda naona kuwa hata tukiongeza vifaa vingine bado hatutakuwa bora kama tunavyotaka maana Ole na benchi lake lina poor game management+team selection na uoga mwingi kuelekea game yenye pressure ndogo tu(mfano ya jana)..
Leicester sio kwamba hata walikuwa vizuri jana,ni sisi tu tulishindwa kuua mechi.
Game ya City,Leipzig,Leicester kama angekuwa na akili huyu socha tungeshinda vizuri tu.
Hauwezi kuwaweka benchi wachezaji bora na kuanza na substandard na kutegemea utashinda game za maana..James n.k
Hakika kabisa mkuu..Bado wengi wanaona ubovu wa Ole kwenye team selection na game management.
Benchi zima la ufundi lilitakiwa kufunika uzembe kama huu.
So far msimu huu tunakosa kombe kwa uwezo mdogo wa kocha.
Kocha angekuwa makini, tuna kikosi cha kubeba ubingwa.
Kutolewa UCL ni sababu ya ubovu wa kocha.
Ndio maana nasema hakuna kocha mpya atakaepata vikombe akiwa na wote hao James,Lindelof,Shaw,Martia,Bissaka.Victor namtetea yupo vizur unajua kukosa kikos cha kwanza wachezaj wanayumba? Hebu fikiria leo james alicheza upande wa lindelof hiv hawa waliwah kucheza pamoja lini upande wa kulia?
Mafundi gani karibu wote walikuwa nje ?Jana kuna mda camera zilienda kumulika benchi la man u, yn mafundi karibu wote wapo nje aisee, kocha hana first eleven mpk leo duuhh.
Ni wachezaji wangapi substandard walianza jana ?Kuna muda naona kuwa hata tukiongeza vifaa vingine bado hatutakuwa bora kama tunavyotaka maana Ole na benchi lake lina poor game management+team selection na uoga mwingi kuelekea game yenye pressure ndogo tu(mfano ya jana)..
Leicester sio kwamba hata walikuwa vizuri jana,ni sisi tu tulishindwa kuua mechi.
Game ya City,Leipzig,Leicester kama angekuwa na akili huyu socha tungeshinda vizuri tu.
Hauwezi kuwaweka benchi wachezaji bora na kuanza na substandard na kutegemea utashinda game za maana..James n.k
Mashabiki wanataka kila mechi washinde kitu ambacho siyo rahisi kwenye football.Aisee, mpira uko so dynamic.
Kabla ya jana wadau kibao tulianza kuamini Man Utd ni title contenders kwa jinsi walivyokuwa wameikaribia Liverpool.
Wenyewe mliita kukimbiza mwizi kimya kimya.
Kuna mpaka post ya Gary Neville akimsifu OGS.
Leo lugha imebadilika baada ya Leicester City kutoa droo.
Next ni Wolves na Astonvilla.
Ndiyo lakini pia defence yetu imekuwa rahisi sana kufungika msimu huu kuliko msimu uliopita labda kwa sababu tulikuwa tunacheza compact sana msimu uliopita kuliko hivi sasa.defence ina madhaifu yake lakini hilo haliondoi ukweli ya kwamba safu yetu ya ushambuliaji nayo inashindwa kumaliza mechi muda sahihi.
Matokeo ya jana ni fair results tu na hayatuondoi kuwa title contenders.
Mashabiki wengi wa United wako desperate kuwa juu kwenye msimamo wa ligi hivyo wanataka wafike juu bila kuangalia hatua zipi tunapaswa kuzipitia kabla ya kufika huko juu.Umeona lakini jinsi washabiki walivyombadilikia Sosha?
Nafikiri wengi wanaichukulia Leicester City kama timu ndogo, labda kwa sababu Man Utd ana history nzuri ya kuifunga. Ila siyo timu unayoweza kulalamika ukipata draw.
Mchezaji mmoja..na huyo huyo mmoja anasababisha timu inakosa balance..Ni wachezaji wangapi substandard walianza jana ?
Shaw,Lindelof,Bissaka sio wachezaji wabaya na wanaweza kuwa kwenye timu ya Ubingwa..Ndio maana nasema hakuna kocha mpya atakaepata vikombe akiwa na wote hao James,Lindelof,Shaw,Martia,Bissaka.
Nakubali utetezi wako kwa kuwa hawa ndio tegemeo lkn hata Bunley hawapati namba
Goli la kwanza lilitoka kwa James lakiniMchezaji mmoja..na huyo huyo mmoja anasababisha timu inakosa balance..
Cavani or Greenwood kwenye nafasi ya James ingekuwa ina impact zaidi
Martial alitoa assist juzi na kufunga but watu hawamtaki..unadhani wana personal issue nae au?.Goli la kwanza lilitoka kwa James lakini
Makosa kama hayo uwanjani yapo tu hata kwa wale mnaowataka.Martial alitoa assist juzi na kufunga but watu hawamtaki..unadhani wana personal issue nae au?.
Tungekuwa bora kama nafasi yake angeanza Greenwood au Cavani.
Pia usisahau alivyoshindwa kupiga pasi nyepesi tu kwa Fernandes ili afunge. na Ole ndo akaamka hapohapo na kumtoa.