Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bao la tatu la Arsenal sijui Rashford kaliangalia na kujifunza chipping badala ya mabavu
Rashford ile jez mgongoni namba 10 imemharibu sana na greenwood kupewa 11 wametoka mchezoni ole alifanya harak sana rashford alipaswa kusubir sna alitakiwa kubak na 19 yake kwanza

Januzaj alipewa 11 alipotea kwenye game

Depay 7 kwisha habar yake


Scott tutanfaidi sana ktk madogo wote toka kwenye academy.
 
Msimu huu tumefunga magoli mengi licha ya kutengeneza nafasi nyingi za kufunga ,wachezaji/timu haina progress wala consistency only Bruno ndio mchezaji mwenye consistency while Martial amedrop sana at least Rashford licha ya kukosa magoli mengi still amejitahidi

Our main problem this season ni defence ,tumekuwa tunaruhusu magoli mengi sana kizembe kwenye mechi 14 za EPL tumeshafungwa magoli 23 last season tulifungwa magoli 36 kwenye mechi 38 kwenye Champions league tumefungwa magoli 10 kwenye mechi 6
 
Makosa ya Rashford kushindwa kufunga magoli mawili yanamhusu nini
Yanamuhusu kwa kupanga line up mbovu kuwahi kutokea.

Hivi unaweza kunambiya huyo JD alimuweka wa nn humo kikosini?.
Na martial anafanya nn hapo centre forward?
Wakati mwenye namba yake cavani yupo fit?
Tena yupo benchi,,

Huoni kama ole anahusika na kupoteza mechi kwa man u?
 
Msimu huu tumeongeza mshambuliaji mwenye uzoefu hapo .mbele,,,..

Je ole anamtumia huyo mshambuliaji mpya ipasavyo?
.Mara zingine sijuwi hata baadhi ya wachezaji wapya walinunuliwa kwa sababu gani.,
Lundo la wachezaji wapya na hawachezeshi..

Kwanini aendelee kuwang' ang' ania akina martial wakati ana cavani?

Huyu ole mzima kweli?
 
Huu ndiyo ukweli defence yetu msimu huu inasikitisha sana
 
Mashabiki wote duniani wameshangazwa na line up ya man u dhidi ya leceister city.

Ni kama ole alikuwa anajaribu ,hakuwa serious na matokeo.View attachment 1659637View attachment 1659638
Bado wengi wanaona ubovu wa Ole kwenye team selection na game management.

Benchi zima la ufundi lilitakiwa kufunika uzembe kama huu.

So far msimu huu tunakosa kombe kwa uwezo mdogo wa kocha.

Kocha angekuwa makini, tuna kikosi cha kubeba ubingwa.

Kutolewa UCL ni sababu ya ubovu wa kocha.
 
I need to know more about your Index.
 
So far Cavan yupo. Alitakiwa apewe priority.
 
Jana kuna mda camera zilienda kumulika benchi la man u, yn mafundi karibu wote wapo nje aisee, kocha hana first eleven mpk leo duuhh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…