Kweli kabisa. Badala kukimbilia kudefend akawa anatembeaWewe angalau umegusa kosa la goli la pili lilioanzia. Chanzo cha goli lile ni Pogba.
Kweli kabisa. Badala kukimbilia kudefend akawa anatembeaWewe angalau umegusa kosa la goli la pili lilioanzia. Chanzo cha goli lile ni Pogba.
Mapungufu ya Ole ni squad selection & game management skills.Kocha gani anafaa kuwa replacement ya Ole pale United ?
Ameshaachieve nini ?Mapungufu ya Ole ni squad selection & game management skills.
Binafsi namkubali sana Julian Nagelsmann. Jaribu kuangalia mechi za RB Leipzig, utaona game management skills ya kocha inavyo-play role kubwa kuleta utofauti uwanjani.
Ilo swali ligeuze kwa soshaAmeshaachieve nini ?
Pressure ya United ataweza huyo mtoto ?
Ukiangalia vizuri mbali ya kutembea anamwelekeza beki 3 kakabee, wakati yeye ndo anapaswa kuziba hiyo nafasi, matokeo yake beki anakuja akiwa ameshachelewa na killing cross inazaa goli.Kweli kabisa. Badala kukimbilia kudefend akawa anatembea
Ingekua ni Man U inaongoza 3-0 dhidi ya timu yenye wachezaji pungufu, zingerudi zote na FT isome 3-5!Aston Villa wanapiga mpira mkubwa na wako pungufu..wanaongoza 3 bila
Good character
Vipi kwa Ole?Ameshaachieve nini ?
Sijatumia public opinion haya ni maoni yangu binafsi.Pressure ya United ataweza huyo mtoto ?
Ni JULIAN wa RB Reipzig na sio TucheleVipi kwa Ole?
Sijatumia public opinion haya ni maoni yangu binafsi.
Ulipaswa uniulize kwa nini nimemchagua Julian Nagelsmann? Na sio tuendelee na Ole au Mauricio Pochettino?
Nimetumia mathematical model approach kumchagua Julian Nagelsmann dhidi ya niliomshindanisha nao akiwemo Ole na Mauricio Pochettino.
Evaluation index zangu zilikuwa muda wa ukocha, asilimia za ushindi, mara walizoingia mashindano makubwa (UCL) na kiwango cha uwekezaji wa fedha ktk vikosi vyao.
Nilipotumia hivyo vigezo hapo juu nikaona Julian (56%) alianza akafuatiwa na Mauricio (47%) na wa mwisho Ole (43%). Hapa nimefanya selection kwa kutumia namba tu. (evaluation index zangu zilikuwa nne tu)
Kigezo kikubwa kilichoni-trigger ni mapungufu tulinayo kwa sasa na benchi letu la ufundi yaani upangaji wa kikosi na usimamizi wa mchezo, kujua nini kifanyike kwa sasa na nani aingie au atoke.
Haya ni maoni yangu binafsi maana uliniuliza nani anafaa kumbadili Ole. Nilimchagua Julian kwa kutumia vigezo vinne na uwezo wake wa game management skills sikuangalia umri wake.
Dogo hajuagi kuchop!!2 points poorly dropped..
Hii game umakini ungeongezeka kidogo tungeshinda mapema tu.
Shaky defence..
Rashford alikuwa anapiga hatrick kabisa leo.
We jamaa Rashid unamchukulia powa? Kabila gani we bwana!!Acheni utani braza
Yaani mchukue epl, kwa foward Kama rashfod, beki hali magwayaaa
Unaishusha hadhi epl
Tukutane badae etihad, tutakuwa tunanyoa Newcastle na panga butu
Dogo anadondokaOle akitaka kutwaa EPL Centre forward awe ni Cavani hawa dogo kama Martial hana mchango kama centre forward timing yake mbaya na hizi offside na hawezi kumiliki mpira
Nashukuru umeliona HiloMartial anao uwezo wa kumiliki mipira na pia anao mguu wa striker tatizo dogo mvivu
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Arteta ashikilie hapo hapo na sindano zake za motoLeo Maddison lazima awatie![]()
hata rashford hana sifa za kuchezea timu ya ushindi wa ubingwa wale ni wa level za aston villa au leeds wakutoa changamoto kwa timu kubwa kale ka bwana mdogo ule uingereza na kukulia kwenye academy vinambebaOle akitaka kutwaa EPL Centre forward awe ni Cavani hawa dogo kama Martial hana mchango kama centre forward timing yake mbaya na hizi offside na hawezi kumiliki mpira
Aston villa 3-0 Crystal Palace (FT)kwa wale wajuzi wa tovuti za kuangalia mpira mubashara muwe munatusaidia kutuwekea humu ndani (wasisubirie kuombwa) ili kuwasaidia wale waliombali na huduma ya televisheni (wengine tuko mbali sana na televisheni kipindi hiki)
Yule kocha aliefukuzwa psg ni mwehu tu kaiharibu mno psg ni bora kubaki na oleNi JULIAN wa RB Reipzig na sio Tuchele