D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
brother, nimekusudia live streaming websiteAston villa 3-0 Crystal Palace (FT)
Arsenal 2-0 Chelsea (HT)
brother, nimekusudia live streaming websiteAston villa 3-0 Crystal Palace (FT)
Arsenal 2-0 Chelsea (HT)
Ni kocha mzuri ila sidhani kama ataweza kuendana na pressure ya kuwa manager manchester united, kile kiti ni cha moto sana, hacha tu JohVipi kwa Ole?
Sijatumia public opinion haya ni maoni yangu binafsi.
Ulipaswa uniulize kwa nini nimemchagua Julian Nagelsmann? Na sio tuendelee na Ole au Mauricio Pochettino?
Nimetumia mathematical model approach kumchagua Julian Nagelsmann dhidi ya niliomshindanisha nao akiwemo Ole na Mauricio Pochettino.
Evaluation index zangu zilikuwa muda wa ukocha, asilimia za ushindi, mara walizoingia mashindano makubwa (UCL) na kiwango cha uwekezaji wa fedha ktk vikosi vyao.
Nilipotumia hivyo vigezo hapo juu nikaona Julian (56%) alianza akafuatiwa na Mauricio (47%) na wa mwisho Ole (43%). Hapa nimefanya selection kwa kutumia namba tu. (evaluation index zangu zilikuwa nne tu)
Kigezo kikubwa kilichoni-trigger ni mapungufu tulinayo kwa sasa na benchi letu la ufundi yaani upangaji wa kikosi na usimamizi wa mchezo, kujua nini kifanyike kwa sasa na nani aingie au atoke.
Haya ni maoni yangu binafsi maana uliniuliza nani anafaa kumbadili Ole. Nilimchagua Julian kwa kutumia vigezo vinne na uwezo wake wa game management skills sikuangalia umri wake.
Kwa uzembe wa ole wa kuchagua kikosi sahihi kwenye mechi muhimu anazidiwa akil had na kocha wa aston villaAston villa 3-0 Crystal Palace (FT)
Arsenal 2-0 Chelsea (HT)View attachment 1659763
Kwa rashford yupo sahihi sana pale hamna mshambuliaji niamini mkuu anahitaj kubadilika sana tena sana angalia vijana aliotoka nao kama wakina mbappeWe jamaa Rashid unamchukulia powa? Kabila gani we bwana!!
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Hahahha kweli aisee yanakuwaga timilifu yanajifunga mara yametelezaIngekua ni Man U inaongoza 3-0 dhidi ya timu yenye wachezaji pungufu, zingerudi zote na FT isome 3-5!
Anatumia cha Hamburg yuleYule kocha aliefukuzwa psg ni mwehu tu kaiharibu mno psg ni bora kubaki na ole
Ni kocha mzuri ila sidhani kama ataweza kuendana na pressure ya kuwa manager manchester united, kile kiti ni cha moto sana, hacha tu Joh
Kuna kipindi tulikua tunapata matokeo mabaya mfululizo pressure kwa OGS ikawa kubwa mpaka akawa mwekundu, hata nywele akawa hachani




hachani nyweleAlinishangaza sana akawa anamnyooshea kidole shaw akakabe halafu na shaw alikuwa kasimama walah mm ningekuwa kocha Terres muda wote angeanzaWewe angalau umegusa kosa la goli la pili lilioanzia. Chanzo cha goli lile ni Pogba.
James, Martial, Shaw hawa wote hawana sifa za kuanza ila ndio kila kitu kwa Ole.Damn nahisi tumekosa ushindi kwa uzembe. Yaani Daniel James anaanza badala ya kina pobga, de beek, Mata na Cavan?
Mshapigwa Double Win leo mkono unawahusu na wale wachezaj wenu wa chagulagaLeo Maddison lazima awatie![]()


Mbinu za kocha pia mkuu hadi muda huu hata bruno haijui namba yake na ni ipi combination yake boranitawalaumu zaidi washambuliaji kuliko safu ya ulinzi kwa haya matokeo yaliopatikana mchana wa leo, ukiangalia goli la kwanza limetokana na madhaifu ya bruno na goli la pili tumeshuhudia ubora wa vardy kwa kuweza kuwakimbia walinzi na kuiwahi krosi ilioonekana kuwa ni nyepesi.
achana na goli za leicester, timu yetu bado inasumbuliwa na tatizo la umaliziaji na ukiangalia nafasi tunazotengeneza kwa takribani kila mechi haziendani kabisa na kiwango cha magoli yanayofungwa.
kinachostaajabisha msimu uliopita tulikuwa na safu bora sana ya ushambuliaji Rashford na martial were very deadly, bila ya kumsahau greenwood aliyekuwa na takwimu nzuri sana ya kufunga magoli kwa kuangalia nafasi alizokuwa akizipata.
msimu huu tumemuongeza mchezaji mwenye uzoefu pale mbele ili tuongeze nambari za magoli ya kufunga lakini wachezaji hawa waliokuwepo ndio wameshindwa kuendana na kasi ya msimu uliopita ya kufunga magoli.
Victor namtetea yupo vizur unajua kukosa kikos cha kwanza wachezaj wanayumba? Hebu fikiria leo james alicheza upande wa lindelof hiv hawa waliwah kucheza pamoja lini upande wa kulia?James, Martial, Shaw hawa wote hawana sifa za kuanza ila ndio kila kitu kwa Ole.
Rashford sijui atakomaa lini.. anakosa chance za wazi sana yeye na Tonny.. (Utd inakosa muuaji mwenye kama ya CHICHARITO kipindi kile.
Hata kama atakuja kocha mpya,. Bado hawezi kuwa na mizigo kama LINDELOF, BISSAKA na hao nilowataja hapo juu.
James, Martial, Shaw hawa wote hawana sifa za kuanza ila ndio kila kitu kwa Ole.
binafsi nimeshamuelewa Ole anachokifanya pale klabuni.Mbinu za kocha pia mkuu hadi muda huu hata bruno haijui namba yake na ni ipi combination yake bora
Yaani bora angeanza na martial kuliko james leo katoa bokobinafsi nimeshamuelewa Ole anachokifanya pale klabuni.
nawaombeni na nyinyi mulichunguze kwa kina hili suala la kupanga mchezaji kimazowea
- telles na mata ndio wachezaji pekee ambao hawana uhakika wa kuanza mechi inayofuata pindi inapotokezea mechi iliopita wamecheza vizuri
- hivyo basi nilishafahamu mapema sana ya kwamba daniel james atapewa nafasi mechi ya leo pasina kuangalia adui tunayecheza naye.
ole na frank lampard ni ndugu wawili wasiojuana,



Bora wapigwe tu mkuu kuna jamaa anasumbua sana humu