Aache utani Cavani aanzeMatch inayofuata na Wolves. Very tricky.
Ni kweli ila leo sijaona makosa yake. Leo kama kawaida Ole kaendeleza ujinga muda mrefu sana Martial alipaswa kutoka.binafsi nowdays nimekua sina Imani akiwepo De gea golini....
Ile ya kwanza siwezi kumlaumu sana maana yeye sio mzuri ktk vichwa ila lile la pili kafanya ujinga sanaRashford alikuwa anapiga hatrick kabisa leo.
Eric na Tuanzabe stupid mistakes wametunyima ushindi na Cavani alipaswa aanze magoli yote aliyokosa Rashford Cavani angelifungaNi kweli ila leo sijaona makosa yake. Leo kama kawaida Ole kaendeleza ujinga muda mrefu sana Martial alipaswa kutoka.
Hata sub ya Tuanzebe aliharibu alipaswa kumrudisha Scott kati kati Eric aende kushoto sikuona umuhimu wa Tuanzebe kuingia ana makosa makosa tena ya kijinga.
Ajifunze kuchipu makipa siyo power kick kila mahaliIle ya kwanza siwezi kumlaumu sana maana yeye sio mzuri ktk vichwa ila lile la pili kafanya ujinga sana
Hawa leicester hawaiogopi man u wanajiachia kwa kumiliki mpira kiasi hichi?
Tupo 9 uwanjani, ila tutashinda tu
Cavani bhana ndiyo ubingwa upoAcheni utani braza
Yaani mchukue epl, kwa foward Kama rashfod, beki hali magwayaaa
Unaishusha hadhi epl
Tukutane badae etihad, tutakuwa tunanyoa Newcastle na panga butu
Mashabiki wote duniani wameshangazwa na line up ya man u dhidi ya leceister city.Aache utani Cavani aanze