mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,363
- 21,441
Ole apimwe akili.Eric Bailey is the weakest link in our defence View attachment 1659493
Ole apimwe akili.Eric Bailey is the weakest link in our defence View attachment 1659493
Mkakati wake ni mzuri lakini Bailey anaweza kujifunga au kusababisha penati au kutoa chumba kwa Vardy akatufungaOle apimwe akili.
Labda anajua tusichojuaHapo pa Baily na lindelof sijapaelewa si angejazia TUANZEBE mmoja awe CB
Kamchagua kwa kuwakimbiza na mabeki wao hawana mbio mkakati mzuri huoLine up inanipa utata James kalivyo kachoyo nahisi mechi inakuwa ngumu
This line up is shit...tutafungwa halafu tuhangaike kurudisha magoli,KWELI DAWA ZIPO..YAANI MARTIAL NA UTOPOLO WOTE ULE WA KUKOSA MAGOLI YA WAZI BADO ANAMUWEKA CAVANI NJE...dunia haiishi maajabu.View attachment 1659479
Kwa kikosi hicho ushindi ni ngumu mno Leo,,Ushindi ni lazima leo na Liverpool kuambulia sare ya moja kwa moja na WestBrom View attachment 1659507
Kakosa bao la wazi kabisaRashfod nini hapa
Hapo atacheza counter attack Leo,,Mkakati wake ni mzuri lakini Bailey anaweza kujifunga au kusababisha penati au kutoa chumba kwa Vardy akatufunga
Rashfod nini hapa
Rashford dah anakosaje goli pale?
Mkuu ulipotea Sana