We jamaa mdomo wako huo daahhBall possession ndiyo imeleta sareView attachment 1659619
Ball possession chini sanaHii mechi tulitakiwa kuwa tunaongoza 1-3 muda mrefu.
Tuanzebe kama hayupo vile.Jamie Vardyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy.
Hahahahahahahahah
Siyo rahisi ziko sare nyingiMatokeo yakibaki hivi, kesho tunaweza kuwa nafasi ya 7.
Chelsea hata muacha Arsenal, Soton atampiga Fulham, Everton ndiyo anacheza na kibonde kabisa Shef. Spurs nae anaweza kushinda. Sema bado tutakuwa na match mkononi.Siyo rahisi ziko sare nyingi
Hiyo sare utashangaa au Arsenal akashindaChelsea hata muacha Arsenal, Soton atampiga Fulham, Everton ndiyo anacheza na kibonde kabisa Shef. Spurs nae anaweza kushinda. Sema bado tutakuwa na match mkononi.