Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna mchezaji anaitwa Antonio martial

Nahisi ndio mchezaji anaetukanwa sana kwa mwaka 2020

Kwani Jesse Lingard hayupo???
Martial ni mchezaji mzuri sana, ila anahitaji Daktari wa saikolojia, ili kuboost inner drive. Angekuwa na bidii kama Sterling au Mane, angekuwa moto sana.
 
Hii ball possession inaashiria sare ya mbili kwa mbili. Tunapoteza mipira kiurahisi sana siyo rahisi kushinda kama tunawapasia
Screenshot_2020-12-26_161805.jpg
Screenshot_2020-12-26_161810.jpg
 
Hakuna nafasi ya counter,and James is no where to be found

Pogba+Cavani wazame ndani
 
James na Martial inabidi wasirudi kiwango chini sana leo. Cavani na Pogba ndani ya ulingo
 
Hawa leicester hawaiogopi man u wanajiachia kwa kumiliki mpira kiasi hichi?
 
Back
Top Bottom