Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Martial out Cavani in
Martial ni mvivu mnoooo.Cavani alitakiwa tangu hakika ya 45
Martial mtoto mse.nge sana huyu
Kuna mchezaji anaitwa Antonio martial
Nahisi ndio mchezaji anaetukanwa sana kwa mwaka 2020
Kwani Jesse Lingard hayupo???
La muhimu ni ushindi tuCavani alitakiwa tangu hakika ya 45
Hawa walitabiri suluhu lakini sikuwaamini na bado siwaaminiView attachment 1659605
Bet won ✔✔✔