Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★I can breathe...

#GGMU

manutd |
IMG_20201220_213040_206.jpeg
 
Special credits to Solskjaer taratibu naona anaanza kurejesha imani iliyopotea..Mc tomminay man of the match leo karibu kila alichokuwa anakifanya kilikuwa kinakwenda sawa..James nilishapotezaga imani naye long time lkn leo ameprove kwamba he can be trusted happy for him..Rashford leo alikuwa mwiba mchungu kwa Leeds kwa dakika chache alizocheza basi tu hakubahatika kupata goli..Natamani kusema Ole in lkn cjui kwanini napata kigugumizi..
 
mnawachukulia wajerumani poa sababu mnamuona Bayern ndiye bingwa kila msimu ila tambua kwamba hata Bayern apelekwe England atawasumbua kama anavyosumbua huko ujeruman
Ligi Uingereza inatimu zinazofanana viwango that's why inaonekana ni ligi ya ushindani
Ila umchukue huyo RB unaemuona poa atakuwa kama Liverpool anayeonekana bora uingereza🚮
🚶🚶🚶
Unaumwa na uso wewe..... bayern isumbue premier league
 
mnawachukulia wajerumani poa sababu mnamuona Bayern ndiye bingwa kila msimu ila tambua kwamba hata Bayern apelekwe England atawasumbua kama anavyosumbua huko ujeruman
Ligi Uingereza inatimu zinazofanana viwango that's why inaonekana ni ligi ya ushindani
Ila umchukue huyo RB unaemuona poa atakuwa kama Liverpool anayeonekana bora uingereza
Pumba kabisa
 
Trash...
 
Kuna wajinga wenzio waliwahi kuropoka kwamba Guardiola akija EPL ataifanya ligi kua nyepesi (atabeba kila mwaka).
 
Back
Top Bottom