Nyie ni nguvu ya soda tuKaa kimya wewe dogo!




Me kuna harufu ya ubingwa naipata hapa.
Yani ubingwa una nukia kama pilau.



Ubingwa wa nini?

Leeds wanafunguka sana, wanashambulia sana, wanacheza vizuri
United ya sasa inapenda timu za namna hiyo, wachezaji wa United wenye kasi wanapenda kuachiwa space ili wakimbie nyuma ya wachezaji wa timu pinzani. Bruno anapenda kudondosha mipira namna hiyo.
Leeds wanaweza kutufunga goli/magoli lakini United anaweza kushinda sababu ya style ya uchezaji wake na quality ya wachezaji wetu ambayo ipo juu sana ukilinganisha na wachezaji wa Leeds
Kwani nyie ni lini mmemuombea mwingine mema?hiyo harufu mpaka anfield na stamford bridge wameanza kuisikia ndo mana wanatuombea mabaya
Daah sidhani kama huu mkeka uliuweka maana yaeza kua hukua na imani kama inawezatokea. Hapo najua ni zaidi ya odds 2.5Today game
We see lots of goals O3.5
We see Manutd winning despite pundits claiming it is a low scoring game of one apiece