



Bado upo we KIBEKO🤔?Nitakuwa hapa kushuhudia mnavyo pasuliwa.
James kaanza kutokana na aina ya mchezo, anapata zaidi room ya kufanya makeke yake leo kwa opponent tuliyenaye.Sosha akili hana unataka point 3 kwa kumuanzisha james?ingawa tumefunga lakini ukweli usemwe
Unajua beki sawa na kipa, wanapata uzoefu na ku-improve tokana na makosa wanayoadhibiwa nayo, kubadili kipa na beki ovyovyo ni risk.Kama ni rotatiin bas afanye kwa kina maguire,lindelof,bruno,maake wamecheza weeeee