Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lakini licha kuwa hoi Kuna kuzidiana ! Arsenal Ni zaidi ya hoi ! Inaonekana Kuna shida ya ndan ambayo sisi mashabiki hatuijui ambayo imepelekea kuathiri Hadi matokeo ya uwanjani !
Kujadili Arsenal katika uzi wa United ni kutudharau sana mashabiki wa United.

Nendeni kwenye jukwaa lenu mkajadili relegation battle.
 
mi nimelipa jero tu lakini nimejuta kuacha usingizi wangu hizo dk 45 za pili nimeenda zangu kulala maana nilikua naona tunarukaruka tu, mechi ya jana hatukustahili kupata aina ile ya ushindi kiukweli tunabahatisha mno sielewi hata tunacheza aina gani ya soka.
Wewe usingizi ulikuwa unakusumbua tu
 
Arsenal zaidi ya hoi? Liva kapigwa 7, city 5, man u 6, dortmund 5 (na kocha kafukuzwa), barca 8 (na kocha, mgt na wachezaji wamefukuzwa, madrid kapigwa nje ndan na shakhtar kapita kimungu mungu, man u kajikuta europa, inter kashindwa hata kuja europa na msimu uliopita walifika fainali, bayern kala nne juzi kasuluhu kizembe kwa kuanza kuongozwa.

Ligi tano bora wanaoongoza siyo waliozoeleka na wengine wanapishana

Arsenal na uhoi wote bado haijafungwa zaidi ya goli tatu katika mechi moja.
Huo mstari wa mwisho ndio unachojivunia msimu huu
 
Hahaha sema ya Bielsa kila mtu kashngaa yahn.......ila klop ni kocha mzuri lakn kwa mwaka huu flick robbed!

Kitu cha kwanza ni kujua ni watu gani wana vote au anapatikanaje kocha bora.

Maana kuna argument ya Neuer amekuwaje kipa bora wakati hayuko kwenye 1st eleven?

Below is an extract from Wikipedia:

The selection criteria for the coaches of the year were: performance and general behaviour of their teams on and off the pitch.

The votes were decided by media representatives, national team coaches, and national team captains. In October 2016, it was announced that the general public would also be allowed to vote.[1] Each group will have 25% of the overall vote.
 
Hivi mafanikio ya Bielsa kisoka ni yapi?
 
Back
Top Bottom