Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu kijana maendeleo yake yanasemaje?
Alafu kuna yule tulie msajili kutokea Atlanta, mbona simuoni kwenye kikosi chao cha kwanza?
Wa atalanta anakuja mwez ujao huyo facundo pellistri kawekwa kule under 23 kupata uzoefu hao madogo wazur sana maana hata miaka 20 hawajafika ndio maana nlisema hapo juu watafuta vipaji wa miaka hii miwili wanafanya kazi nzur sana pamoja na ole kukubaliana nao
 
mi nimelipa jero tu lakini nimejuta kuacha usingizi wangu hizo dk 45 za pili nimeenda zangu kulala maana nilikua naona tunarukaruka tu, mechi ya jana hatukustahili kupata aina ile ya ushindi kiukweli tunabahatisha mno sielewi hata tunacheza aina gani ya soka.
Tunaangalia points 3 mkuu, na ukizingatia week hii vigogo kibao vime mbwela.
 
★Yani yupo Derby County lakini anasifia timu pinzani we fikiri yuko Derby County kwani pale hakuna Timu ya watoto mpaka amlete Man U!!? ila angekuwa Tanzania (AFRICA) wangevunja mkataba watu weusi hatunaga moyo wa uvumilivu unataftiwa figisu unauzwa hahahaa ★
Baba yake ana mahaba ya dhati na united
 
Huyu Matic toka aongezewe mkataba, kiwango kimeshuka sanaa.

Haiwezekani Defensive Mid au Holding mid. Unamaliza mechi bila tackle au interception.

Pogba---1 tackle, 2 interceptions na 3 defensive clearances.

Bruno---2 Tackles, 1 interception.

Matic----0Tackle, 0 interception, 0 defensive clearances.
 
Kwa hiyo humu ndiyo mmegoma kujadili kikosi cha FIFA?

2642403_Adjustments.jpg
 
Huyu Matic toka aongezewe mkataba, kiwango kimeshuka sanaa.

Haiwezekani Defensive Mid au Holding mid. Unamaliza mechi bila tackle au interception.

Pogba---1 tackle, 2 interceptions na 3 defensive clearances.

Bruno---2 Tackles, 1 interception.

Matic----0Tackle, 0 interception, 0 defensive clearances.
Matic is gone.
 
Back
Top Bottom