Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

PSG na Leipzig group la kifo Psg yenyewe ya Tuchel ?!! Ujerumani kuna Club gani ya ushindani nje ya Bayern Munich?
Huo ilikuwa ni mtazamo kabla ya msimu kuanza. Kusema RB Leipzig (kabla msimu haujaanza) haikuwa timu shindani baada ya ubora walioonesha msimu uliopita nadhani ni understatement. Pia PSG siyo timu ambayo unaweza kuitabiria kirahisi kuwa haiwezi kupenya kwenye makundi. Vivyo hivyo United siyo timu ya kushuka kirahisi kwenye hatua ya makundi (kwa kuzingatia ubora wa kikosi). Ndiyo sababu hilo lilikuwa kundi la kifo.

Vinginevyo nioneshe kundi gani lilitabiriwa kuwa la kifo mbali na hilo.
 
Mzee unajificha kwenye kakichaka kadogo:

  • Liverpool kafungwa goli 7 mechi moja, mpaka sasa kwenye ligi Liverpool kapoteza mara 1 tu.
  • City kafungwa goli 5 mechi moja, ila kwenye ligi kapoteza mara 2.
  • Man United kafungwa goli 6 mechi moja, ila kwenye ligi kapoteza mara 3.

Arsenal ambaye hajafungwa zaidi ya 3 mechi moja, kwenye ligi kapoteza mechi 7.

Hapo unamchagua yupi?

Au ndo tunafanya kama draft la beginners, kwamba hata kama nikikufunga mara 10, ila ukinifunga supa moja tu basi mimi ndo sijui.
Hahahaha aisee hii point ngumu ujue atachagua wapi
 
Kwa game ya leo hata ningeambiwa nilipie elfu tisa miatisa na tisa, ningelipia.
mi nimelipa jero tu lakini nimejuta kuacha usingizi wangu hizo dk 45 za pili nimeenda zangu kulala maana nilikua naona tunarukaruka tu, mechi ya jana hatukustahili kupata aina ile ya ushindi kiukweli tunabahatisha mno sielewi hata tunacheza aina gani ya soka.
 
★Alimwambia "Mwanagu Pol wewe ni Mbwa" ile yakusifia lakini
ahahhaha ila pogba bhana na lindof sijui walikuwa wanateta nini
ila naisi lindof kamwambia pogba pangekuwa na mashabiki leo ungepata demu
 
★ Don't you know Manchester United (RED DEVIL'S) know's how to turn BLADES into BREADS by the way it was not a Puzzling task to them

Usilete mazoea na wakubwa unaona sasa ulivyo aibika aisee ★

Wale madogo wanatia huruma sana, wameshajikatia tamaa kabisa.

Wamebaki wanajitahidi wasifungwe goli nyingi nyingi.
 
Back
Top Bottom