Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Juventus watoa ofa...
Tukijitahidi sare. Leeds wanashambulia sana na sisi ukuta wetu una makosa makosa kwa hiyo ni lazima wafunge si chini ya goli mbili.Bielsa anafungika jumapili?
Bruno mbona hayumo
Hawa jamaa wana wivu sanaa![]()
★
Asante aisee, I hope next squad Bruno atakuwepo, kama ataendelea kufanya anayofanya sasa hivi.
Kaipandisha Leeds daraja mapem sana.Hivi mafanikio ya Bielsa kisoka ni yapi?

Hiki ndo kichaka chao cha kujifcha hii ya mwaka huu ina tofaut gan na ya 2013 ambapo kocha bora alikuwa yule mzee wa bayern ambapo nae pia alizoa makombe yte makubwa kwann hawakumpa huyo klop ????Kitu cha kwanza ni kujua ni watu gani wana vote au anapatikanaje kocha bora.
Maana kuna argument ya Neuer amekuwaje kipa bora wakati hayuko kwenye 1st eleven?
Below is an extract from Wikipedia:
The selection criteria for the coaches of the year were: performance and general behaviour of their teams on and off the pitch.
The votes were decided by media representatives, national team coaches, and national team captains. In October 2016, it was announced that the general public would also be allowed to vote.[1] Each group will have 25% of the overall vote.
Ww una wachezaji wa4 apo kwny kikosi mzee.Asante aisee, I hope next squad Bruno atakuwepo, kama ataendelea kufanya anayofanya sasa hivi.
Front three ya Liverpool this season imewabeba sana pale walipohitajika.Hivi Liverpool amesurvive vipi na majeraha yote waliokuwa nayo recently?..Wanaongozaje ligi?.
Inabidi tukubali Jurgen Klopp ni master kweli..na United tunahitaji kocha atleast anayemfikia Klopp hata kwa asilimia 70 ili tuweze kupata mafanikio kiuhakika..United with Ole ni kuzunguka tu duara lenye good run of form kiasi na bottling za maana ndani yake,bado hainiingii akilini ni jinsi gani tumeshindwa kucheza fainali yoyote msimu uliopita na ni kivipi tumeshindwa kwenda last 16 za UCL baada ya kuwa na mwanzo mzuri kwenye mechi za makundi(PSG+Leipzig).
Anyway,acha tuone venye mambo yataenda kwenye ligi,maana huyu Ole bado yupo sana