D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
bruno united fc,
hilo eneo alilokaa bruno na de bruyne kipindi kile bwana kipara alikuwa anakuekea davis silva.
yule fala alitunyanyasa sana, kwa sasa acha aendelee kupata suluhu dhidi ya west bromwich.
leo hii city ni wa kucheza na double pivot.
kipara amekwisha
===
wan bissaka yupo hapoooooo