Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ole hata umpe game tatu ashinde epl ipo mlangoni achukue

Hawezi, hana pumzi

Hii timu imeshajifia kabisa
 
Adjustments.jpg
 
leo rashford hatacheza kutokana na majeruhi hadi january ndo tutamuona
pia edson cavan hatakuwepo kabisa kutokana na adhabu aliopewa

mungu asimame leo tusifeeee
 
Ila mkuu una moyo sana, kwa mwenendo wa timu yenu unapata wapi ujasiri wa kukomenti nyuzi za timu nyingine ?

Nje ya mada! Mambo ya mpira Ni magumu Sana , ningeweza ningeacha kabisa ushabiki ama kuhama timu lakini Hilo Jambo haliwezekani !!!
Ujasiri unakuja kwakua huu msimu kila mmoja yupo hoi.
 
Lakini licha kuwa hoi Kuna kuzidiana ! Arsenal Ni zaidi ya hoi ! Inaonekana Kuna shida ya ndan ambayo sisi mashabiki hatuijui ambayo imepelekea kuathiri Hadi matokeo ya uwanjani !
 
Arsenal zaidi ya hoi? Liva kapigwa 7, city 5, man u 6, dortmund 5 (na kocha kafukuzwa), barca 8 (na kocha, mgt na wachezaji wamefukuzwa, madrid kapigwa nje ndan na shakhtar kapita kimungu mungu, man u kajikuta europa, inter kashindwa hata kuja europa na msimu uliopita walifika fainali, bayern kala nne juzi kasuluhu kizembe kwa kuanza kuongozwa.

Ligi tano bora wanaoongoza siyo waliozoeleka na wengine wanapishana

Arsenal na uhoi wote bado haijafungwa zaidi ya goli tatu katika mechi moja.
 
Mzee unajificha kwenye kakichaka kadogo:

  • Liverpool kafungwa goli 7 mechi moja, mpaka sasa kwenye ligi Liverpool kapoteza mara 1 tu.
  • City kafungwa goli 5 mechi moja, ila kwenye ligi kapoteza mara 2.
  • Man United kafungwa goli 6 mechi moja, ila kwenye ligi kapoteza mara 3.

Arsenal ambaye hajafungwa zaidi ya 3 mechi moja, kwenye ligi kapoteza mechi 7.

Hapo unamchagua yupi?

Au ndo tunafanya kama draft la beginners, kwamba hata kama nikikufunga mara 10, ila ukinifunga supa moja tu basi mimi ndo sijui.
 
Cha kwanza na kianze:

Mlilia supa yeyote huyo hajui drafti.

Cha pili ni kwamba:

City na liva wapo na first xi ile ile baada ya overhaul kwa zaidi ya misimu mitatu huku wana makocha walioprove. Wanaspend kwa entries chache tu.

So kutaka kusema you are doing fine na standard yako ni Arsenal ambayo kocha kasema inahitajika misimu mitatu kupata winning team hapo nitakua sina cha kukwambia.

United ina first xi ile ile ila ina kocha average. Amethibitisha hivyo ucl.

Huu msimu kila timu ipo hoi. Mliopigwa nyingi mmepigwa tuliopoteza mechi nyingi tumepoteza.
 
Sawa mzee, umejibu kisiasa sana.

Anyway, naelewa situation ambayo Arsenal mko, tulishawahi kuwa huko. Na kwa sports tutarudi tu, kitu muhimu ni ku-enjoy the moment.
 
Back
Top Bottom