Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Msimu uliopita, tulipokutana na timu iliyokuwa mkiani na ikiwa haijafunga yeyote, tulipigwa. Sasa tena, tunakwenda kukutana na timu iliyo mkiani na ikiwa haijafunga timu yoyote zaidi ya kutoa draw moja, tutapona?

Tusubiri tuone.
 
My prediction

Sheffield Utd 0-3 Manutd (FT)
NO BTTS
O2.5


Predicted line-ups

Sheffield United: Ramsdale; Basham, Egan, Stevens; Baldock, Berge, Ampadu, Fleck, Lowe; Mousset, Burke



Manutd:

Man United: De Gea; Wan-Bissaka, Lindelof, Maguire, Telles; McTominay, Fred; Mata, Fernandes, Rashford; Martial


Fernandes to score a BRACE at anytime
Man u haina ukuta wa kuzuia kufungwa mkuu..

Watu wa Betting wanakucheki tu
 
My prediction

Sheffield Utd 0-3 Manutd (FT)
NO BTTS
O2.5


Predicted line-ups

Sheffield United: Ramsdale; Basham, Egan, Stevens; Baldock, Berge, Ampadu, Fleck, Lowe; Mousset, Burke



Manutd:

Man United: De Gea; Wan-Bissaka, Lindelof, Maguire, Telles; McTominay, Fred; Mata, Fernandes, Rashford; Martial


Fernandes to score a BRACE at anytime
Hapo Leo bila greenwood no party..
Anapaswa aanze
 
Niliwahi kusema last two weeks.

United ingekuwa serious huu msimu ndo ulikuwa wa kuchukua kombe iwe UCL au EPL.

Kwa kikosi tulicho nacho, tumekosa kocha tu
Ukweli kabisa huu tatizo kocha tuendelee kumvumilia
 
Leo ndio tutajua akili za solskjaer na genge lake
IMG_20201216_200754.jpg
 
Lakini hapo hapo kwa martial nae hana sifa za kuanza kwa sababu mchango wake ni mdogo sana jumamosi mahrez alikosa goli la wazi katupwa bench mech ya juz laporte kapoteza namba kiwango kimeshuka pale kuna ighalo alimchukua wa nn?
Hakika kabisa,,bora ighalo angeanza striker,,kushoto rashford kulia greenwood.
 
umemtaja martial mwanzo?
Mimi nimesema no greenwood today no party,,

Baada ya kuona martial yupo kikosini,,,

Martial kapoteza sifa za striker..anapaswa aanzie banchi,,au awekwe pembeni..na sio no 9.

Rashford,,, ighalo,,greenwood.

Au martial,,,, rashford.. Greenwood..

Kwa mfumo huo hatoki Sheffield Leo
 
Huwa namkubali sana huyo dogo pamoja na huyu dogo ki ukweli hii miaka miwili wasaka vipaj wa timu yetu hawajafanya vibaya pengine ndio maana solskjaer anavumiliwa wana imani nae kwa sasa kwa upande wangu kitu naona tunatatizo la ushambuliaji tu timu ikiwa nzur mbele hata mabek wanakuwa fresh wale atalanta unaweza kuwafunga 3 wao wanakupa hata 6 msimu uliopita...... je timu gan itakuwa na ujasir wa kushambulia wakat wanajua mwamba ukimpa 5 yaya anakupa 7 na haikuwa miongoni mwa timu zenye ukuta imara unamfunga 2 yeye anakupa 4 mech kwisha utaona huna bek unafunga ka moja wana wanachomoa na wanakuongeza mech kwisha
IMG_20201217_140955.jpg
 
My prediction

Sheffield Utd 0-3 Manutd (FT)
NO BTTS
O2.5


Predicted line-ups

Sheffield United: Ramsdale; Basham, Egan, Stevens; Baldock, Berge, Ampadu, Fleck, Lowe; Mousset, Burke



Manutd:

Man United: De Gea; Wan-Bissaka, Lindelof, Maguire, Telles; McTominay, Fred; Mata, Fernandes, Rashford; Martial


Fernandes to score a BRACE at anytime
MAN U.jpg

IJIRUDIE SIO...!
 
Huwa namkubali sana huyo dogo pamoja na huyu dogo ki ukweli hii miaka miwili wasaka vipaj wa timu yetu hawajafanya vibaya pengine ndio maana solskjaer anavumiliwa wana imani nae kwa sasa kwa upande wangu kitu naona tunatatizo la ushambuliaji tu timu ikiwa nzur mbele hata mabek wanakuwa fresh wale atalanta unaweza kuwafunga 3 wao wanakupa hata 6 msimu uliopita...... je timu gan itakuwa na ujasir wa kushambulia wakat wanajua mwamba ukimpa 5 yaya anakupa 7 na haikuwa miongoni mwa timu zenye ukuta imara unamfunga 2 yeye anakupa 4 mech kwisha utaona huna bek unafunga ka moja wana wanachomoa na wanakuongeza mech kwishaView attachment 1652229
Huyu ni Palistri?
 
Tusipo pata points 3 leo, naungana rasmi na wale timu Ole out.
Hapo atakua kadhihirisha kua hajui akitakacho.

Yani ni mtihani sawa na ule wa kutafuta point 1 kwenye mechi 2 ulio mshinda kwenye UCL.
Mpira kuna muda unamatokeo ya ajabu spurs vs crystal palace manchester city vs west bromwich albion liverpool vs fulham
 
Back
Top Bottom