kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,350
★Huyu Jamaa hata akiwaambia Familia yake nipo kikazi England unakubali kweli yupo kikazi★


★Huyu Jamaa hata akiwaambia Familia yake nipo kikazi England unakubali kweli yupo kikazi★


KITU NILICHOONA LEO, NA OGS ANATAKIWA AKIJUE....
1. FRED SIO WA KUANZIA BENCH
2. POGBA SIO WA KUANZIA BENCH
3. TOMINAY SIO WA KUANZIA BENCH
4.RASHFORD SIO WA KUANZIA BENCH
5. FERNANDES NI MOTOOO
6. SHAW SIO WA KUANZIA BENCH
7.BISSAKA, LINDELOF, MAGUIRE NI MOTOO
8. GREENWORD NI MOTOO
9. MARTIAL SIO WA KUKAA HATA BENCH AONDOKE AUZWE/ATOLEWE MKOPO MBALI SANA NA ENGLAND, DAKIKA ISHIRINI ALIZOCHEZA ANAGUSA MPIRA MARA MBILI TU!!!!!























Wtf..KITU NILICHOONA LEO, NA OGS ANATAKIWA AKIJUE....
1. FRED SIO WA KUANZIA BENCH
2. POGBA SIO WA KUANZIA BENCH
3. TOMINAY SIO WA KUANZIA BENCH
4.RASHFORD SIO WA KUANZIA BENCH
5. FERNANDES NI MOTOOO
6. SHAW SIO WA KUANZIA BENCH
7.BISSAKA, LINDELOF, MAGUIRE NI MOTOO
8. GREENWORD NI MOTOO
9. MARTIAL SIO WA KUKAA HATA BENCH AONDOKE AUZWE/ATOLEWE MKOPO MBALI SANA NA ENGLAND, DAKIKA ISHIRINI ALIZOCHEZA ANAGUSA MPIRA MARA MBILI TU!!!!!
Yn mashabiki bhana 😂😂😂Shaw man of the match..leo nilikuwa na uhakika hatufungwi hata tungecheza na Bayern Munich au Liverpool (considering previously results) Ole is so predictable..
Una maanisha tangu record zao za walipoanza au msimu huu? Kwenye mpira kuna hali inaitwa form sijui unaizungumziaje ukisikia mchezaji yupo katika form na kutokuwa ktk form?Martial anapitwa magoli na beki wa chelsea zouma kweli haya ni maajabu
Nazungumzia msimu huu martial hana goli hata 1 na anauhakika wa namba hapo OTUna maanisha tangu record zao za walipoanza au msimu huu? Kwenye mpira kuna hali inaitwa form sijui unaizungumziaje ukisikia mchezaji yupo katika form na kutokuwa ktk form?
Nyie c ndo mlkuw mnamponda Maguire leo amkua moto![]()
Watu wanafiki juzi kamuanzisha Shaw mkafungwa mkalalamika kwanini Shaw kapangwa.KITU NILICHOONA LEO, NA OGS ANATAKIWA AKIJUE....
1. FRED SIO WA KUANZIA BENCH
2. POGBA SIO WA KUANZIA BENCH
3. TOMINAY SIO WA KUANZIA BENCH
4.RASHFORD SIO WA KUANZIA BENCH
5. FERNANDES NI MOTOOO
6. SHAW SIO WA KUANZIA BENCH
7.BISSAKA, LINDELOF, MAGUIRE NI MOTOO
8. GREENWORD NI MOTOO
9. MARTIAL SIO WA KUKAA HATA BENCH AONDOKE AUZWE/ATOLEWE MKOPO MBALI SANA NA ENGLAND, DAKIKA ISHIRINI ALIZOCHEZA ANAGUSA MPIRA MARA MBILI TU!!!!!
Alichomaanisha Ole akikaribia kufukuzwa huwa hapotez mechi ila hali ya hewa ikiwa poa anarudia upuuzi wake🙂Yn mashabiki bhana![]()
Ni form ya mechi moja au form ktk msimu mzima?Una maanisha tangu record zao za walipoanza au msimu huu? Kwenye mpira kuna hali inaitwa form sijui unaizungumziaje ukisikia mchezaji yupo katika form na kutokuwa ktk form?
PSG na Leipzig group la kifo Psg yenyewe ya Tuchel ?!! Ujerumani kuna Club gani ya ushindani nje ya Bayern Munich?Ilikuwa wazi kuwa hilo ndilo kundi la kifo. Nafikiri kasema kweli kabisa.
deplorable game of football, wajinga wawili walikutana janaKila mmoja wetu naamini angepokea matokeo ya draw kabla ya mechi
Angefungwa mancheter united post kama hii isingekuwepodeplorable game of football, wajinga wawili walikutana jana
Hapo kwenye namba 8 kuna shida sanaWatu wanafiki juzi kamuanzisha Shaw mkafungwa mkalalamika kwanini Shaw kapangwa.
Baada ya kupata matokeo usiyoyatarajia ulibeba matokeo yako mfukoni naona unajipoza machunguPep amewafundisha wachezaji wake city hakuna kufunga goli ndani ya 18 mpaka pale mtakapo mpiga kipa chenga.
Na angefungwa manchester united dhidi ya manchester city hii iliojichokea moto ungelizidi(sina furaha na mwenendo wetu)Angefungwa mancheter united post kama hii isingekuwepo