Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Na angefungwa manchester united dhidi ya manchester city hii iliojichokea moto ungelizidi(sina furaha na mwenendo wetu)
kitu pekee nilichokiona jana ni pasi nyingi zilizoanzishwa na de gea, maguire, lindelof, scott then bruno pindi anaposhuka chini na tukifika maeneo ya adui hatuna ubunifu wowote baraka ya kurudisha tena mpira nyuma.

ukweli usemwe tunacheza ovyo, sielewi ni kwa sababu gani mpaka leo timu kubwa zina dominate possession dhidi yetu halafu bado tunafurahia haliyakuwa kibajeti tunalingana
si kwamba tunafurahia hapana ukiangalia mwenendo wa timu na usajili na makocha waliopita ni ngumu sana kupata flow ya timu hasa kocha wetu si mzoefu kuna muda tunamlaumu afukuzwe je anaekuja itakuwaje?

Hii timu haiwez kuwa sawa hiv karibuni ni suala la muda simpend kocha ila kuna muda namuonea huruma alikuwa akiwataka watu wa kufanya nao kazi hakupata kwa hiyo kalazimika kutafuta plan b vipi kama angepata watu kama jack na sancho? Ubunifu ungekuwepo wala wakina greenwood tusingekuwa tunawalaum hao tunawapoteza kwa kuwa wanapewa majukum makubwa

Namuangalia sana jack wa aston villa kama angepatikana na sancho tungekuwa mbali sana
 
Mshukuru jana

Mahrez aliwaokoa ,ile Open Space aliyokosa mngehesabu maumivu

Jana City tumekosa gor nying tu

Yaan nyie nyumbu kuna siku yenu inakuja
 
KITU NILICHOONA LEO, NA OGS ANATAKIWA AKIJUE....
1. FRED SIO WA KUANZIA BENCH
2. POGBA SIO WA KUANZIA BENCH
3. TOMINAY SIO WA KUANZIA BENCH
4.RASHFORD SIO WA KUANZIA BENCH
5. FERNANDES NI MOTOOO
6. SHAW SIO WA KUANZIA BENCH
7.BISSAKA, LINDELOF, MAGUIRE NI MOTOO
8. GREENWORD NI MOTOO
9. MARTIAL SIO WA KUKAA HATA BENCH AONDOKE AUZWE/ATOLEWE MKOPO MBALI SANA NA ENGLAND, DAKIKA ISHIRINI ALIZOCHEZA ANAGUSA MPIRA MARA MBILI TU!!!!!
Sasa atagusa vipi mpira kama viungo hawampi? Au ulitaka ashuke awe kiungo?
 
Makocha wenye uwezo wa kuchukua makombe wanajulikana

Hesabu hazidanganyi

Klop

Jose morhino

Pep guardiola

Hao ndio wananyota na vikombe

Hao wengine sijui

Lampard

Ole

Arteta

Hao ni wasindikizaji tu ,hawana pumzi kabisa

Siku mtakapolijua hili ndio mtakapo jua kuwa hamjui, na mnapoteza muda

Timueni oleguna Kama mnataka vikombe
 
si kwamba tunafurahia hapana ukiangalia mwenendo wa timu na usajili na makocha waliopita ni ngumu sana kupata flow ya timu hasa kocha wetu si mzoefu kuna muda tunamlaumu afukuzwe je anaekuja itakuwaje?

Hii timu haiwez kuwa sawa hiv karibuni ni suala la muda simpend kocha ila kuna muda namuonea huruma alikuwa akiwataka watu wa kufanya nao kazi hakupata kwa hiyo kalazimika kutafuta plan b vipi kama angepata watu kama jack na sancho? Ubunifu ungekuwepo wala wakina greenwood tusingekuwa tunawalaum hao tunawapoteza kwa kuwa wanapewa majukum makubwa

Namuangalia sana jack wa aston villa kama angepatikana na sancho tungekuwa mbali sana
Grealish wa nini sasa?

Na tukimpata Sancho kwahiyo tutakuwa tumemaliza kitu?
 
ole anasema tokea afundishe timu, jana ilikuwa ndio mechi bora kwake dhidi ya man city
Nakubaliana nae..shida ilikuwa link up ya mid na Rash+Greenwood..

Defensively+dimba la chini tumecheza vizuri sana..
 
★Gary Neville: “There was no intent to go and win the match today, if that was Jose Mourinho in the dug out, we’d be hammering him”★

manutd |
Hawa Pundit wa kiingereza hovyo sana..

Mbona Mourinho alicheza hivihivi kwenye ile 0-0 draw vs Chelsea?..alishindwa nini kuotea goli moja na kumfunga lampard?
 
si kwamba tunafurahia hapana ukiangalia mwenendo wa timu na usajili na makocha waliopita ni ngumu sana kupata flow ya timu hasa kocha wetu si mzoefu kuna muda tunamlaumu afukuzwe je anaekuja itakuwaje?

Hii timu haiwez kuwa sawa hiv karibuni ni suala la muda simpend kocha ila kuna muda namuonea huruma alikuwa akiwataka watu wa kufanya nao kazi hakupata kwa hiyo kalazimika kutafuta plan b vipi kama angepata watu kama jack na sancho? Ubunifu ungekuwepo wala wakina greenwood tusingekuwa tunawalaum hao tunawapoteza kwa kuwa wanapewa majukum makubwa

Namuangalia sana jack wa aston villa kama angepatikana na sancho tungekuwa mbali sana
Huyo Sancho huko alipo anafanya nini? Unadhani angesaidia?
 
Huyo Sancho huko alipo anafanya nini? Unadhani angesaidia?
Hapama wachezaj wanapanda au kushuka sehem anayokwenda mfano wakina mane na salah walikuwa wa kawaida lakin kwa sasa bei zao hazishikiki kuna timu haipend kuwa na VVD? Alipokuwa sutton nani alikuwa akihangaika nae
 
Grealish wa nini sasa?

Na tukimpata Sancho kwahiyo tutakuwa tumemaliza kitu?
Sio kwisha tunapunguza hata tulipokuwa na ronaldo bado tuliendelea kuboresha timu pale united grealish ni mtu muhimu sana tena sana yule jamaa angetupa option kibao pale mbele
 
Sasa atagusa vipi mpira kama viungo hawampi? Au ulitaka ashuke awe kiungo?
KWANI CAVANI HUWA ANAGUSA VIPI?, HALIJUI KUJI-POSITION, UVIVU MTUPU. MECHI YA JUZI KATI YA UCL RASHFORD ALICHEZA CHINI YA DAKIKA 15 ZA MWISHO AKAGUSA MPIRA MARA NYINGI KULIKO MJINGA HUYU ALIYECHEZA ZAIDI YA DAKIKA 75
 
Akili matope hii, yaani Arteta yuko nafasi ya 15 unawezaje kumtaja hapa?
Makocha wenye uwezo wa kuchukua makombe wanajulikana

Hesabu hazidanganyi

Klop

Jose morhino

Pep guardiola

Hao ndio wananyota na vikombe

Hao wengine sijui

Lampard

Ole

Arteta

Hao ni wasindikizaji tu ,hawana pumzi kabisa

Siku mtakapolijua hili ndio mtakapo jua kuwa hamjui, na mnapoteza muda

Timueni oleguna Kama mnataka vikombe
 
★Paul Pogba has spoken...★

manutd |
IMG_20201213_160012_040.jpeg
 
★The only players to score more goals for Man Utd against Man City than Marcus Rashford (4) are Paul Scholes (5), Eric Cantona (7) and Wayne Rooney (8).★

#GGMU

manutd |
IMG_20201213_155914_945.jpeg
 
Back
Top Bottom