2:30 usikuGame saa ngapi wakuu
Wakuu nimewapa laki yangu
Aisee ole akiondoka na laki yangu nitaomba atimuliwe tu
Man u huwa anampigaga CityAsee noma
Yaani litimu libovu unalibetia laki.
Fanya mzee unipe 20k utabarikiwa.
Man U laki? Asee
Watu humu tumejikatia tamaa kweli kweli..
Usisahau kuchukua na Pepsi nasikia n nzuri km una presha kkMan u huwa anampigaga City
Sina wasiwasi
Nimeagiza maji ya barid hapa nashushia kusubili laki tatu yangu na ishirin
Pogba atatoa chumba tutaibuka kidedeaPogba auzwe haraka sana. Hana mapenzi na timu, anafanya ilimradi tu. Anatukosesha magoli.
Hahaha aisee umetoka shimoni salama..
Leo mnakaangwa bao ngap nyie nyumbu..