Wenzetu wachezaji huanza course za coaching wakiwa wadogo pia.Luca Ercolani (U23s): "After 10 months of hard work I am grateful to achieve the Uefa B Coaching Badge. It’s something I’ve always wanted to experience, and it helped me to fill in the spare time during a period on the sidelines due to injury."
View attachment 1647960
nagelsmann?
Mkuu sitaki nile vipigo sehemu zoteWe si shabiki wa Manchester City wewe ? Unaibetia timu yako kufungwa![]()
Laki ya kubetia ungeweza kulima robo ekari ya Maharage mbegu ya kisasa ukaja kuvuna Maharage ya laki sita ndani ya miezi mitatu hapa ndio tunakosea maisha
Mkuu sitaki nile vipigo sehemu zote
Pep huwa ananiudhi akikutana na hawa nyumbu ,kapigwa nje ndan na huyu ole msimu uliopita, niliumia sanaa
Sasa leo nimecheza kote kote

Sema safari hii kathibitisha kuwa falsafa yake haijikiti kwenye pesa bali aina flani ya wachezaji waliopevuka kiakili. Mfano; Spurs imetumia pungufu ya £m80 kununua wachezaji 7 kwenye dirisha lililopita na sasa timu imebadilika sana ikilinganishwa na msimu uliopita.Ukimpa Morinho hela alete wachezaji anaowataka.
Anaweza kukupa vikombe mpaka ushangae.
Ila usimfanyie kama Ed alivyomfanyia.
We jamaa weweMimi nasema mmejitahidi.
Inter kashindwa kufuzu kwenda Europa.




Ilikuwa wazi kuwa hilo ndilo kundi la kifo. Nafikiri kasema kweli kabisa.Kaongea kinafiki sana hapo eti Leipzig na PSG ni group gumu
Point yake siku zote ni kuwa zile timu 8 zinazoshindwa kupenya 16 bora zina uwezo mkubwa sana ikilinganisha na timu za wakulima wa Europa. Hivyo yeye hudhani mwelekeo wa Europa league hubadilika hapo kwenye round of 32 kitu ambacho sio fair kwa timu zilizofuzu kwenye makundi ya hiyo Europa.
Huyu Mou bwana
Ambao hawaja"succeed" ni wanaoshikaga mkia
Utabiri wa leo ni 0--2 ukibisha uwe na sababu.Mkuu ole anamjulia pep
Sina wasiwasi nae kabisa
Lazima ashinde ili asifukuzwa
Hahaha aisee umetoka shimoni salama..Sasa wewe tangu lini ukaiombea mema Manchester United?
Wewe endelea kushabikia Manchester ya mtaani kwenu Mbagala kimbangulile, hii ya England tuachie sisi wabishi.



Teh teh teh!Yaan huyo martial aliyeshindwa kutoka na on target game yabrighton ndo awafunge city...anyway mpira una maajabu ngoja tuone
Hiyo ligi anayotaka shinda labda wasiwe wanashiriki Liver, Chelsea, Spurs★Bruno Fernandes: "I will be happy when I win the Premier League. The point to come to England, to such a huge club, was to win the Premier League and I think we have the chance to do it."★
#GGMU
manutd |
Mkuu weka mkeka hapa uliolipia otherwise acha kuwajaza hawa jamaaWakuu nimewapa laki yangu
Aisee ole akiondoka na laki yangu nitaomba atimuliwe tu
Hakuna aliyekata tamaa hisia zako tu mkuuWatu humu tumejikatia tamaa kweli kweli...
Anyway,GGMU