


★
Kaongea kinafiki sana hapo eti Leipzig na PSG ni group gumu

Huyu mtabe balaa lake si Dogo!

★
Huyu mtabe balaa lake si Dogo!
Mafanikio yake katika coaching ni yapi ?kwa ufupi jamaa ndio “Mentor” wa PEP Gardiola na baadhi makocha wengine wakubwa..Hes the FATHER OF BEAUTIFUL FOOTBAL
Acha bangiZouma ana goal nne wakati Rashid Makame ana goal mbili.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kumzungumzia Zouma kwenye kundi la wacheza mpira.Zouma ana goal nne wakati Rashid Makame ana goal mbili.
In Mourinho we trust★Here you can Vote for Coach of the Century
![]()
Globe Soccer Awards
Globe Soccer, the international football meeting takes the stage in Dubai and delights the stars by selecting them for its Awards.vote.globesoccer.com
Vote for Fergie★
#FergieLegend
#GGMU
manutd | View attachment 1646589
Pundamilia kama pundamilia.Mtu mwenye akili timamu hawezi kumzungumzia Zouma kwenye kundi la wacheza mpira.
Ana hoja ya msingi