Bodi ina makosa yapi uwanjani?Sikubahatika kuangalia kabisa mechi ya jana hata matokeo ndiyo nimejua sasa hivi.
Mimi niliamini UEFA tulitoka siku tuliyopoteza mechi na Instanbull hiyo mechi ndiyo imetuondoa kwenye haya mashindano.
Yote kwa yote Laisez Faire attitude ya Ole imekuwa ikitugharimu kila mara tunalazimika kutafuta ushindi wa lazima.
Pamoja na kufungwa wa kumfukuza Ole kazini ni bodi ya United.
United inacheza hovyo sana inapokuwa na pressure sababu kubwa ni kuwa kikosi bado hakina balance kwenye maeneo mengi uwanjani.
Mbaya zaidi mpira tunaocheza ni mbaya sana.Unazunguka sana more than 2 years tunasema UWEZO WA KOCHA NI MDOGO tunaenda mbele hatua 2 tunasahau then tunarudi hatua 7 nyuma ndio tunashtuka weekend atamfunga Man City atapewa sifa zote
Jose aliachana na EPL akashinda Europa.Shida ya Spurs ni squad depth. Ukiacha wachezaji 11 wanaoanza hawa wengine ambao Jose hupenda kuwatumia kwenye Europa hawana motivation kabisa. Ndiyo sababu hata juzi kwenye game na hao wakulima LASK sare ilikuwa matokeo mazuri sana ukilinganisha na performance.
All in all Jose yeye anajua namna gani atadeliver kikombe kwa Levy.
Nmeshafka maombi yako kwa boss✓Ole aondoke,na Pogba afuatie..
✓Tu-hire kocha aliyeprove kitu hasa kutoka ligi ya Germany,atakayekuja na falsafa za kutufanya mpira wa uhakika uchezwe na mafanikio yapatikane
°°°Tukiendelea kubaki na Ole naamini hata top four hamna this season°°°
Waingereza wanasifia vya kwao.Mimi nimewahi kuona.
Nakumbuka wakati fulani nikiwa pale Nyamazobe niliona mwingereza akimsifia Kante
Pia nakumbuka sku hiyo nipo kibanda umiza nimewahi kuona mwingereza akimsifia Hugo Lloris
Sku moja tena nikiwa nyumbani niliona mwingereza akimsifia Thierry Henry
imeshaniongezea presha na msongo wa mawazo kana kwamba nafaidika nayo kiutajiri..
leo nimepata usingizi saa 11 alfajiri (mawazo yamenitawala nafsini)
cha kwanza kinachoniuma ni kwamba jana jioni nilitembelea ukurasa wa instagram wa george ambangile alipost video yake akiwa ndani ya kipindi cha michezo akiwazungumzia leipzig jinsi wanavyocheza kuanzia pale katikati wanavyojazana kwa kuua winga zao, jinsi wanavyotumia angelino kuset mashambulizi baada ya kufanikiwa kumhamisha mlinzi wa pembeni eneo lake, pressing yao na ball possession na jinsi wanavyokuwa watano pale nyuma wasipokuwa na mpira kama umewaangalia vizuri(alitolea zaidi mfano wa mechi ya bayern munich).
yaani george anayeishi Tanzania anawafahamu leipzig kiundani kuliko kocha wetu na benchi lake la ufundi linaloongozwa na football analyst na wataalamu wa IT wanaotambulikana duniani.
kipindi chote cha kwanza wan bissaka alikuwa analazimika kuwa nje ya eneo lake(mara nyingi alikuwa anacheza katikati), ina maana leipzig walifanikiwa kimbinu ya kumhamisha eneo lake ili asikutane mara kwa mara na angelino (one against one) na hapo ndipo angelino alipata fursa ya kutukhanithi anavyotaka (goli zote zimetokea kwake na hata hizo walizokosa zinatokea kwake)
baadae nikaangalia video statman dave (kwa mashabiki wa man utd wengi wao watakuwa wanamfahamu) naye alikuwa anawafanyia analysing leipzig na jinsi gani unaweza kuwabypass (kuwadhibiti), huyu ni mzungu mwenzake ina maana kama ameangalia ile video basi angalijifunza, cha ajabu aliyoyazungumza dave ndio yale yale yaliokwenda kujitokeza uwanjani masaa matano baadae.
second half yule baradhuli wa kinorway anamtoa telles (sidhani kama ameumia) then anambakisha shaw ambaye hana match fitness kwa wiki za karibuni na dakika 20 baadae anamtoa luke shaw then anamuingiza brandon williams.
nilitamani televisheni niivunje kwa hasira.
kaka yangu PTER hii kazi ya kumtetea mwendawazimu Ole kuanzia leo rasmi nakuachia wewe na bwana chief mkwawa.
kwa ufupi nimechoka,
acha niunge mkono juhudi.
=================
kama kuna mshabiki wa manchester united anayefikiria ya kwamba siku moja Ole atafanikiwa kumfunga klopp ndani ya uwanja kimbinu (si ubabaishaji) basi wazo hilo aliondoe kwani hiyo siku haitojitokeza.
acha aendelee kumvizia guardiola asiyebadilika na mbinu uchwara zake
==================
tumekuwa mabingwa wa kusifia makipa wa timu pinzani kwa sababu ya kukosa kwetu umakini.
shots conversion rate yetu ni mbovu kuwahi kutokea,
- mendy wa chelsea hodari (ameokoa michomo dhidi yetu)
- kipa wa sevilla hodari (ameokoa michomo dhidi yetu)
- kipa wa leipzig hodari (ameokoa michomo dhidi yetu)
- kipa wa southampton hodari (ameokoa michomo dhidi yetu)
- kipa wa west bromwich hodari(ameokoa michomo dhidi yetu)
, kwa beki zenu hizo sijui Magure, Lindelof Hahaaa. Mtakuwa mnashituka tu huyu hapa Bamford 

wachezaji wa marseille waliwahi kugombana na kocha wao bielsa
teh teh teh
Bielsa weakness yake ni hajui kujilinda anashambulia sana bt ankuwa exposed so rhic kufungwa ,angalia Match zake nyingi anvochezaYule kocha ni nuksi sana. Katika makocha natamani waje kufundisha Chelsea basi Bielsa ndio napenda zaidi. Huyu kocha namuelewa sana, mbinu zake ni full kushambulia tena kwa kasi kama huna beki imara ndio utajuta kwann umekutana nae.
Tena Bielsa ukijifanya unajibu mapigo yake ya kushambulia mamaaaaa hapo umekwisha mapema tu. Refer ile game anacheza na Chelsea, mwanzo kabisa Leeds walianza na moto sio mchezo sasa Chelsea akaiga kushambulia ikapigwa kaunta ya kushtukiza pasi ikamfikia Phillips, kisha Phillips akatoa assist kwa Bamford likawa goli mapema tu dakika za mwanzo kabisa. Sema Lampard aliusoma mchezo mapema baada ya hivyo akaona isiwe kesi akatulia akaachana na ishu za kushambulia kama Leeds akawa mpole akarudisha goli na kuongeza mawili.
Mfano mzuri mwingine ni ule wa Leeds na LOSERKUKU hapa wote walikutana wazee wa kushambulia, hapa walikuwa wanaviziana yaani one mistake one goal. Ile game ilikuwa ukizubaa tu ni chuma ndio maana ile mechi iliisha kwa magoli mengi mno 4 kwa 3.
Sasa Bielsa akikutana na nyie si atawabaka kabisa, kwa beki zenu hizo sijui Magure, Lindelof Hahaaa. Mtakuwa mnashituka tu huyu hapa Bamford
![]()
Sahihi kabisa. Hiyo ni sababu mojawapo makocha wakubwa huwa na vikombe vingi kibindoni. Pep pia kwa mfano; mwaka wake wa kwanza na City hakuhangaika na kubeba league alitumia msimu ule kujenga kikosi huku akiwekea mahesabu vikombe vilivyowezekana. Sometimes kutaka kubeba kila kitu ilhali haiwezekani huwafanya hawa makocha wadogo wasifanikiwe.Jose aliachana na EPL akashinda Europa.
Alikuwa focused na alideliver.
Morinho ni result oriented coach.
Ole alileta dharau sana hapaNaangalia game ya psg na hawa watoto nashangaa hawa madogo walimpigaje man u
Bielsa weakness yake ni hajui kujilinda anashambulia sana bt ankuwa exposed so rhic kufungwa ,angalia Match zake nyingi anvocheza
Alishwah jibu kuhusu iyo issue kuwa yeye kujilinda kwake ni the way timu inakuwan mpira lkn ni mpira wa haraka mda ote na ikitokea wamepoteza mpira bas haraka haraka wanautafuta mpira kuanzia golini kwakoNdio maana Bielsa huwa anatumia mabeki wanne kisha mbele yako kuna kiungo mmoja mzuiaji, Philips. Lakini naona bado haijawa suluhisho sahihi, aina ya uchezaji wa Bielsa inapaswa uwe mabeki konki sana.
Tena beki namba 4 na 5 inapaswa waelewane sana kisha wasiwe wanapanda sana alafu yule kiungo mzuiaji awe karibu yao sana yaani asiende mbele mno ikibidi aishie katikati ya uwanja. Yaani nashidwa nieleze vip ili nieleweke, kiukwel mbinu ya Bielsa mm naipenda sana. Yaani kwenye mbinu hizo unapaswa uwe na wachezaji wenye kasi sana kuanzia golikipa mpaka straika. Ili unapo shambulio basi mabeki wa pembeni wanarudi kwa haraka sana kuja kusaidia beki namba 4 na 5
Alishwah jibu kuhusu iyo issue kuwa yeye kujilinda kwake ni the way timu inakuwan mpira lkn ni mpira wa haraka mda ote na ikitokea wamepoteza mpira bas haraka haraka wanautafuta mpira kuanzia golini kwako