Lee Cho in
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 941
- 693
Boss hii ni comment bora ya mwakaTatizo Waafrika hatujiamini na hatujikubali kiasi cha kwamba tumekubali fahari yetu kugeuka kuwa matusi, tumeshindwa kui brand rangi yetu kuonekana yenye thamani tumebaki kulia lia tu.
Wazungu wameibrand rangi yao inayofanana na kitimoto mpk inaonekana ni rangi nzr na bora, leo hii kama ikitokea kuna weusi watupu af mzungu mmoja na kamisaa akasema "book that white guy" wala mzungu asingelalama na angefurahi kuonekana anahusudiwa cz wamejibrand.
Ifike mahali waafrika tuache kulia lia na tusikubali kasumba za wazungu eti kwamba kumuita mtu black ni tusi, sisi wenyewe tujiite blacks na tujivunie ublack na wao wakituita blacks nasi tuwaite pigs maisha yaendelee.
Ivyo yani.
kwangu ni ujinga wa hali ya juu kulalamika eti kisa mtu kakuita black

★

tushakaribia★


