Nimekupa likeOle match za pressure za kushinda hawezi
Hana mbinu
Hana uzoefu
Match Kama hizo wanaziweza akina klop
Ole huwa anashinda kwa kubahatisha +uwezo binafsi wa wachezaji
Ole hana mbinu za kimpira kabisa
Match ambayo inatakiwa ashinde au adraw, anakosa namna kabisa ya kufanya?
Game Kama hizi ndio unaweza kumjua
Morhno ni nan
Klop
Simeon
Yaan game Kama hizo wanazimalizaga mapema!
Kuna game liverpool vs sulzburg,
Uefa ilibid liverpool ashinde ndio aende 16bora na alikuwa away ,uliona alivo Press mpaka sulzburg alikufa gori mbili
Leo hii mnataka ole awavushe kwenye wakati Kama huo, never happen hawez kabisa
Ole katika fainal tano, anaweza akashinda moja, kwa sababu hana mbinu za ushind, huwa anabahatisha kulingana na uwezo wa wachezaji walivoamka
Naikumbuka hiyo sikuHahaha level yako ya hasira nilikua nayo game ya Arsenal na Liva halafu Lacazette akakosa two clear chances.
Ilikua si mchezoNaikumbuka hiyo siku
Upo sahihi mkuu tena nakumbuka ile mechi ya liverpool na Salsburg watu wengi walihisi klopp hatoboi baada ya kupata nao shida pale Anfield lakini alichokuja kuwafanya huko Austria hawatokisahau,sisi kocha wa aina hiyo hatuna mi naomba weekend tupigwe aende zake tutaishi kwa matumaini mpk lini na kikosi tunacho kizuri tu.Ole match za pressure za kushinda hawezi
Hana mbinu
Hana uzoefu
Match Kama hizo wanaziweza akina klop
Ole huwa anashinda kwa kubahatisha +uwezo binafsi wa wachezaji
Ole hana mbinu za kimpira kabisa
Match ambayo inatakiwa ashinde au adraw, anakosa namna kabisa ya kufanya?
Game Kama hizi ndio unaweza kumjua
Morhno ni nan
Klop
Simeon
Yaan game Kama hizo wanazimalizaga mapema!
Kuna game liverpool vs sulzburg,
Uefa ilibid liverpool ashinde ndio aende 16bora na alikuwa away ,uliona alivo Press mpaka sulzburg alikufa gori mbili
Leo hii mnataka ole awavushe kwenye wakati Kama huo, never happen hawez kabisa
Ole katika fainal tano, anaweza akashinda moja, kwa sababu hana mbinu za ushind, huwa anabahatisha kulingana na uwezo wa wachezaji walivoamka
Castr Alifanya change ya wachezaji 9 kutoka kikosi Cha kwanza ndio walicheza Jana kwa maana hiyo imeshaonesha game yake hiyo sio muhimu kwake kwasababu hata akifungwa goal 1000 still remain top of group Sasa wewe ulitakiwa ujiongeze kwenye mkeka wako usibeti ovyo ovyo bila kuangalia mazingira ya mechi kwanza nyinyi mnaobeti mnakwama wapi?Bob Chelsea ya sasa inajituma kuwaprove wrong watu so nikaamini atashinda hata kusawazisha kulikuja fasta so nikajua mambo mwake
Tumchukue huyu wa RB Leipzig✓Ole aondoke,na Pogba afuatie..
✓Tu-hire kocha aliyeprove kitu hasa kutoka ligi ya Germany,atakayekuja na falsafa za kutufanya mpira wa uhakika uchezwe na mafanikio yapatikane
°°°Tukiendelea kubaki na Ole naamini hata top four hamna this season°°°
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hizo takwimu zako ndo zinafanya United iendelee kutolewa kwenye mashindano.
Hazisaidii chochote.
Tatizo siyo changes tatizo ni timu aliyokutana nayo. Mfano Bayern, Liva na City points zao hazifikiwi na yeyote lakini kutokana na timu wanazokutana nazo na aina ya makocha unawaziaje matokeo?Castr Alifanya change ya wachezaji 9 kutoka kikosi Cha kwanza ndio walicheza Jana kwa maana hiyo imeshaonesha game yake hiyo sio muhimu kwake kwasababu hata akifungwa goal 1000 still remain top of group Sasa wewe ulitakiwa ujiongeze kwenye mkeka wako usibeti ovyo ovyo bila kuangalia mazingira ya mechi kwanza nyinyi mnaobeti mnakwama wapi?
Kakosea kidogo Tena Ni typing error alafu umemkomalia ile mbayaMkuu rudi kwa ras simba kwanza..
Wht a shit English is tht..
Sio as been
Ni has been..
Mkuu hyo sio typing error,,Kakosea kidogo Tena Ni typing error alafu umemkomalia ile mbaya
Aah sawa...nilijua psg akifungwa ManU,RB na psg watalingana point in that case wangeangalia goal difference.UCL wanaangalia HTH siyo goal difference
Yaani mkuu ukiangalia Rangi yako na mkaa au bendera ya ISIS zinafanana?Acha kukimbia rangi yako. You are black. Labda unambie wewe una rangi ya zambarau ama njano
Say no more bro..Pogba ni mjinga sana, halafu haonagi kwamba umri unamtupa mkono. Anatimiza miaka 28 soon. Yeye ana amini bado ni mdogo eti ana bright years ahead. Hajui kwa ile mentality mbovu ataishia kuwa wonderful talent with no meaningful achievement. France kushinda WC sio kwamba ni direct credit kwake tu. Anatakiwa aoneshe anaweza ku shine nje ya kuwa covered na Kante na Matuidi
We ungekua kocha ungemuacha Wan Bissaka ili uwe offensive?Wazee tunaposema Kocha hajui muwe mnatuelewa, kuna mambo yuko njema kama usajili na siasa za mpira ila kuja kwa mbinu za ushindi hapana.
Jana De Gea alidakia miguu while kipa Wa Leipzig anadakia mikono.
Kulikuwa na haja gani ya kumtoa wan bissaka wakati tunahitaji kuwa offensive.
Damn it.
Ole Out