Hahahaaaa!!! Hii kali. Kwa hiyo a winger siyo attacking midfielder? Huwezi kuwa na attacking midfielder in wide position?
Wakati akiwa Utd, Ronaldo hakuwa attacking midfielder? Giggs na Nani siyo attacking midfielders simply because ni wingers?
Chifu, naona unaendeleza ubishi husio na mantiki. Kama ulisoma ile post yangu juu ya positions kuu 3 za uwanjani, utanielewa. Attacking midfielder ni aina ya uchezaji katika nafasi ya midfield. Right and left wingers ni aina ya uchezaji katika midfield pia. Sasa kwa United Antonio siyo attacking midfielder; mpira wa United uwa ni wa kutumia wings sana. Ingawa kwa kiasi fulani uwa wanatumia attacking midfielders kutafuta magoli.
Sijawa kusikia Cristiano ama Giggs na Nani wakiitwa attacking midfielders; wenyewe wanaweza kufanya na kuleta mashambulizi kupitia kwenye wings, uitwa attacking wingers, ambao ni aina pia ya uchezaji katika midfield. Ingawa mara chache upitia katikati.
Hizo ni aina za uchezaji tu.
Kabla ya miaka ya 1960s, kazi ya wingers ilikuwa ni ku-attack tuu, lakini siku hizi hali imebadilika. Wingers/attacking midfielders must back-track and must also do defensive duties. Pale Valencia alichemsha na ndiyo maana Vidic alimwambia tokea mwanzo kabisa lakini jamaa hakusikia.
Must back-track kwa mujibu wa nani? Wapi mimi nimesema Valencia hakuchemsha!?! Kwa kuchemsha kwa mchezaji katika soka ni ajabu? Antonio yupo vizuri msimu huu; alichofanya ni kawaida katika soka. Kwani soka ni mchezo wa makosa, yasababishayo magoli. Bila makosa hakuna magoli!
Alikuwa amsaidie Chris au ale sahani moja na left back wa Man City ili Nasri asitoe pasi kwake? Sasa kama angemsaidia Chris kwa kumkaba Nasri, nani angemkaba yule left back wa Man City?
Mpira ni mchezo wa makosa; pamoja na makosa ya Antonio, United walicheza hovyo jana. Nashangaa unakomalia kusema mambo yaliyo obvious.
Ulidhani ni kwa nini Mourinho alikuwa anamtaka? Rooney ndiyo type ya modern strikers. Siku hizi watu kama Mark Viduka hawana tena soko. Kama Mata angekuwa Man Utd mngekaa kimya kama angecheza kama alivyocheza Valencia kwenye lile goli la kwanza?
Ndiyo. Kwani kwa uchezaji wa Mata, siwezi kumlaumu. Mata uchezaji wake ungekuwa unaleta faida kubwa kwenye timu kuliko udhaifu wake katika kukaba. Huwezi kulazimisha kila mchezaji acheze kama Rooney. Nimeshakwambia Rooney is an exceptional player. Ebu nitajie aina ya wachezaji kama Rooney katika ligi za Ulaya.
Mourinho hana haja ya kumchukua Rooney wakati ana wachezaji watatu wanaoweza kucheza kama Rooney wakienda mbele (Mata, Hazard na Oscar); na wanao wawili wakirudi kukaba (Oscar na Ramires). Sasa Wazza wa nini hapo? Mourinho apange kikosi chake vizuri tu.
I meant that when Mata played, Chelesea had 11 men when they were in possession of the ball and 10 men when they were not in possession of the ball. Why? Kwa sababu, unlike Oscar, Mata alikuwa hafanyi lolote kama timu yake imepoteza mpira. He waited for others to get the ball back for him. Mbona player makers wa Barca wakipoteza mpira wanautafuta kwa udi na uvumba? Why not Mata?
Still, he was their best player for two consecutive seasons. Mata is the best on what is supposed to do; and that completely cover his weakness in tracking back balls.
He just needs to be a complete player. That's it. Nakumbuka hata Joe Cole alikuwa hivyo hivyo, but he accepted the criticisms from Mourinho and changed to become a very good player.
So do complete players need to do what? Isn't Messi a complete player?
Come on, you can't compare Joe Cole and Juan 'King' Mata!!! That's so low! Where did the complete player Hoe Cole end up?
Some players are just the best on what they are 'naturally' supposed to do in the pitch; and not on what they are supposed to do in your so called modern football.
Sasa pale Valencia alikuwa ame-hold position yake? Where was he supposed to be in that particular time?
Again, unakomalia vitu ambavyo havipaswi kukomaliwa!
Ndo maana nimesema sehemu nyingine kuwa Man Utd tayari wameshacheza na Liverpool, Man City na Chelsea. So, mechi zijazo lazima mshinde kiulaini. Hata hivyo, to win the league, you must not loose too many points to your competitors. Kati ya hizo mechi tatu mmeambulia point moja tuu kati ya tisa.
Look at what you are writing!! United has won the league several times despite of losing points to its competitors. Many times. So it isn't a must to not lose points to your rivals so as to win the league. Last year United lost two games at OT versus Chelsea and City; yet, United was the Champ.
It is too early to make such a statement.
Mie siyo pundit. Are you? If so, pundit wa wapi?
Yes, OT.