Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

nilidhani rooney ni top class triker? ila umeniacha hapa jamvini umefanya substitutions zaidi ya tatu wakati zinaruhusiwa tatu tuu.

Rooney siyo namba 9 chifu; yeye ni namba 10! Sasa ninavyosema namba 9 namaanisha ndiye striker; goal getter; goal poacher n.k.

Javier anafaa kama super sub...uwa anachoka mapema sana.

Nimefanya subs tatu? Nilisema Javier on for Danny na Nani/Kagawa for Young. Sasa hizo subs 3 ziko wapi?
 
Poleni ni kweli mtani Mie naona Kagawa alikuwa acheze chini ya striker au kutokea kushoto kuingia kati kati ya the carrick angecheza vizuri nafasi yake walijichanganya Fellini na carrick nani acheze Hiyo nafasi ila Yaya aliwafanya Murudi sana nyuma ila mpira unaisha May poleni.

Kweli. Ndiyo 1st half wote walikuwa wakirudi nyuma na kucheza kama CM. Kipindi cha pili walibadilika kidogo; ingawa Kagawa angekuwepo ingekuwa safi.

Ila ni kweli; ligi inaisha Mei. Tuombe uzima tu.
 
Tough times for United fans; as it is for Moyes. But I still believe in Moyes' RedAndWhiteArmy

He still needs to put his mark on players' minds.

33 games to go; 99 points still on the table.

So keep your heads up Man United fan.

Once United, always United.

GGMU
 
Kweli. Ndiyo 1st half wote walikuwa wakirudi nyuma na kucheza kama CM. Kipindi cha pili walibadilika kidogo; ingawa Kagawa angekuwepo ingekuwa safi.

Ila ni kweli; ligi inaisha Mei. Tuombe uzima tu.[/QUOTE. Ameen.
 
563091_693507660677889_35698505_n.jpg
Kaka vipi Leo mkanda wa Kodak umeungua? Sioni picha za game ya Leo?
 
Msimu umenza vibaya kwa hawa mashetani... while on the other side we are cruising! Ligi itasisimua msimu huu..
 
Rooney siyo namba 9 chifu; yeye ni namba 10! Sasa ninavyosema namba 9 namaanisha ndiye striker; goal getter; goal poacher n.k.

Kama Rooney siyo striker ni nani? Midfielder?
 
Tough times for United fans; as it is for Moyes. But I still believe in Moyes' RedAndWhiteArmy

He still needs to put his mark on players' minds.

33 games to go; 99 points still on the table.

So keep your heads up Man United fan.

Once United, always United.

GGMU

Hivi ni wewe ulikuwa unamponda Mourinho juu ya Mata kuto-defend?

Leo utasemaje kuhusu Valencia?
 
Msimu umenza vibaya kwa hawa mashetani... while on the other side we are cruising! Ligi itasisimua msimu huu..

Siyo mbaya kama unavyodhani. United walikuwa na game 3 ngumu na big clubs. Chelsea, Liverpool and City. In spite of such a fixture, United is just 3 points behind the rivals, Chelsea and City. Plus, United has always been a slow starter.

Next 5 games: West Brom, Sunderland, Southampton, Stoke and Fulham. 15 points from these games are crucial.
 
Hivi ni wewe ulikuwa unamponda Mourinho juu ya Mata kuto-defend?

Chifu, ebu tulia na uongee vitu vya maana. Sasa hapo unasema nini?

Mimi nitampondaje Mourinho juu ya Mata kuto-defend wakati nikifahamu Mata ni playmaker ama attacking midfielder? Hiyo siyo kazi yake; ila Mourinho anataka hadi Torres awe anakaba. Ndiyo maana hampangi Mata; mchezaji aliyekuwa bora kwa Chelsea katika misimu 2 iliyopita.

Leo utasemaje kuhusu Valencia?

Valencia hajacheza vizuri sana leo. Lakini tatizo lilikuwa ni timu nzima. Timu haikucheza vizuri; hilo hata Moyes kasema hivyo katika post match interview.

Lakini, United is the biggest club in England and one of the biggest in the world. It will bounce back; there are 33 games to play.
 
David Moyes was disappointed to lose his first Manchester derby, but accepts the best team won.

"Manchester City were the better team – they were stronger and had control from early on. We found it difficult to contain them.

"I thought as the first half edged on we started to get back into the game but unfortunately we lost the second goal just before half-time."

1235229_10151704688917746_175899502_n.jpg
 
Back
Top Bottom