Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii gemu tukifungwa inabidi Ole ajipime kama anafaa kuendelea kuwa kocha wa man united au aonyeshwe mlango wa kutokea.
 
Hama hii timu itakuja kupa presha rafiki yangu.
wengi tunalalamika ya kwamba man utd hatuna mfumo halisi wa kiuchezaji (filosofi) chini ya ole ukilinganisha na timu nyenginezo kama liverpool, man city, barcelona, bayern munich, kwa mfano leo hii liverpool hata kama watachezesha kikosi cha pili basi system ya uchezaji inabaki kuwa ni ile ile pasina kuangalia matokeo tofauti na sisi, hapa tumejificha kwenye kivuli cha kwamba ole anabebwa na performance za wachezaji.

majira fulani alikuwepo van gaal, alikuja na filosofi nzuri sana ya kiuchezaji jambo lililopelekea kila mshabiki awe na ufahamu wa style rasmi tunayocheza kabla ya hata mechi kuanza(haijalishi mchezaji fulani ni mzima au majeruhi) lakini mzee alishindwa kuigeuza system hiyo kwenda njia bora (tulikuwa tunashindwa kufunga magoli ) na hatimaye akapingwa na mashabiki, huyu tuseme aliangushwa na system yake ndio maana akaletwa mourinho asiyekuwa na system ya kuvutia ila matokeo mazuri anayapata

ukiangalia huu mchakato wetu tulioupitia baada ya fergie unagundua ya kwamba timu yetu haikuwa na mkakati maalumu wa kuishi baada ya fergie

ukiniuliza ni kocha gani bora sitokuwa na jibu sahihi, ila ukiniuliza mwalimu yupi mwenye falsafa rasmi ya ufundishaji ukiondoa hao wenye timu zao basi nitawataja hawa bila ya kuhoji matokeo
  1. Ralph Hasenhüttl = southampton
  2. Julian Nagelsmann = leipzig
  3. bielsa = leeds united (huyu ni mgumu sana, wachezaji watahitaji wajitoe sana ili waweze kuadapt soka lake)
  4. makocha wanaofundisha bundesliga
mashabiki wengi nikiwemo mimi hatuna msimamo rasmi wa tunachokihitaji.
 
Biesla nilifwatilia documentary yake, yuko njema ila ni mzee wa filosofia kali, akina pogba watamuweza kweli?
 
Back
Top Bottom