Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
Prince dube na martial bora nani?
zinaongozwa na kamanda magwayaHizi beki leo!
Top ipi? Labda Top down mkuuTunaweza kuingia top 4 leo
Acha kutuletea uchawi kwenye pira la EPL wewe ..huu ushirikina pelaka simba na Mtiba Shugwa huko..Mechi ya leo kati ya West Ham United na Manchester United, inatarajiwa yafuatayo yatatokea:
1. Manchester United itashinda.
2. Manchester United watapewa Penati / Mchezaji wa West Ham United atapewa kadi nyekundu / Goli la West Ham United litakaliwa kwa VAR au bila VAR.
Mkuu hizi za punda au zipi?





eti hizi za PUNDA au zip

mnacheza pira gimbi kama la utopolo niniFu.ck..tunacheza kama mazezeta
mi naongea kila siku humu Mc tominay ama Fred hawawezi cheza peke yao kwenye midfield 2, wanapiga mpira mwingi wakiwa pamoja ama kuwe na midfield wengi, hawana uwezo wa kusoma mchezo wanajua tu kufanya tackling, matic ni much better kwenye situation kama hii.Hii timu nyuma ya pazia kuna matatizo makubwa sana.
Yani haiingii akilini eti West Ham anapiga soka safi mbele ya likikosi lipana kama hili.