bado tunahitaji nafasi ya kwanza ila kufungwa goli 3 na paris kumenivunja moyo sana.Kwahiyo mwisho wa siku nyie ndio mkawa vibonde![]()
Ngoja aje@Chief-Mkwawa★Watetezi wa huyu Mtoto Martial mteteeni na leo sasa yani hapa na hapa kweli★View attachment 1640384
★Si kuna Goal difference mkuu???★
Watapokea mkong'oto vyenye hawajawahi ona sidhani kama tutagawa point tatu za bure kama tulivyocheza na basakseher sijui hukoMechi ya mwisho una RB Leipzig watakunyonya Mavi kisha wanakutupa ueropa huko

jamaa anafufuaga document za kumtete acha tu
★
Ngoja aje@Chief-Mkwawa
16 bora hazikutani team za nchi moja labda ziingie 5 au 6 ila kama 4 hazikutanibado tunahitaji nafasi ya kwanza ila kufungwa goli 3 na paris kumenivunja moyo sana.
unajua uingereza team tatu zimefuzu nafasi ya kwanza, ikitokezea tumeshika nafasi ya pili mara tunachanganywa waingereza watupu kwenye mechi moja ya mtoano.
wasiwasi wangu ndio huo
Mkuu tunza hii comment wanaenda kucheza EUROPA LEAGUE hawa hawatoki kule.Mpira ndivyo ulivyo mkuu, game ya Leo kocha kawaangusha, PSG haikuwa timu ya kuwafunga leo.
Kama angefanya sub mapema ya Fred, ninaamini mngekaza hata kutoa sare ambayo ingekuwa nzuri sana kwenu.
Hapo mnaenda kutafuta sare ugenini, itakuwa game ngumu sana. Lakini naona mtapita kwa mtazamo wangu.

★
Ni head to head, naona site nyingi wameweka kama hiyo uliyoweka, ila haiko sahihi.
Sawa mtabiri mzee tambitambiMkuu tunza hii comment wanaenda kucheza EUROPA LEAGUE hawa hawatoki kule.
bado tunahitaji nafasi ya kwanza ila kufungwa goli 3 na paris kumenivunja moyo sana.
unajua uingereza team tatu zimefuzu nafasi ya kwanza, ikitokezea tumeshika nafasi ya pili mara tunachanganywa waingereza watupu kwenye mechi moja ya mtoano.
wasiwasi wangu ndio huo
nimeelewa brother ila nitafuatilia zaidi16 bora hazikutani team za nchi moja labda ziingie 5 au 6 ila kama 4 hazikutani
Hiyo ya Mourinho msimu huu.EUROPA LEAGUE.........LOADING.
Mkuu tunza hii comment wanaenda kucheza EUROPA LEAGUE hawa hawatoki kule.
Kama wale wa waturuki walikutandika kwao Leipzig ndio atakuacha.Sawa mtabiri mzee tambitambi
kumbe lile balaa linakuwa robo fainali.....Hata mkiwa wa pili round inayofata hakuna kukutana watu wa ligi moja au waliokuwa kundi moja.
Ila robo yeyote anakutana na yeyote bila kujali kama uliongoza kundi au mnatoka nchi moja.
Kwa hiyo zikipita zote kwenda robo kuna big chance ya kukutana.
Last 16 timu kutoka taifa moja hazikutani..hiyo ni hadi robo fainali.bado tunahitaji nafasi ya kwanza ila kufungwa goli 3 na paris kumenivunja moyo sana.
unajua uingereza team tatu zimefuzu nafasi ya kwanza, ikitokezea tumeshika nafasi ya pili mara tunachanganywa waingereza watupu kwenye mechi moja ya mtoano.
wasiwasi wangu ndio huo
barcelonaLast 16 timu kutoka taifa moja hazikutani..hiyo ni hadi robo fainali.
Lakini bado tukimaliza wa pili na hizi game reading skills za kishamba za Ole tutakipata tu still hata tukikutana na Wakubwa waliopooza mfano Barca