Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,145
- 4,292
Manchester united bingwa uroper league 2020/21
Mtapewa ChelseaTukimaliza wa pili hili kundi kazi tunayo.
Wewe ni nambii sikupingi uropa ni yenuTunafanya mambo yawe magumu sisi wenyewe..
Tusishtuke tukiungana na vilaza Arse8 kwenye Europa League
Ile gemu tuliyoipoteza instanbul nayo tutaikumbuka sana
sorry nilikuwa sijaangalia msimamo, nilifikiri jamaa wana alama tatu kabla ya mechi ya leo.Hapana, kama atakuwa ameshinda leo atakuwa na points 9 sawa na nyie kama ikitokea leo mkafungwa.
Hivyo atahitaji ushindi wowote ili awe na 12 points, nyie mbakie na 9.
Mkitoa draw ndo hapo mtamwacha kwa head to head.
Umeongea kweli brooTunafanya mambo yawe magumu sisi wenyewe..
Tusishtuke tukiungana na vilaza Arse8 kwenye Europa League
Ile gemu tuliyoipoteza instanbul nayo tutaikumbuka sana
Mkuu mimi naona hata mechi ya leo hakukuwa na sababu ya msingi kupoteza.sorry nilikuwa sijaangalia msimamo, nilifikiri jamaa wana alama tatu kabla ya mechi ya leo.
kama tutatoa suluhu basi leipzig atatoka ila kama tutafungwa basi ndio europe league inatuhusu.
hatukuwa na sababu ya msingi haswa ya kufungwa na vibonde wa kundi (waturuki)
ukiachana na nafasi tulizopata bado tulikuwa lazy sana tofauti na mechi ya mwanzo.Mkuu mimi naona hata mechi ya leo hakukuwa na sababu ya msingi kupoteza.
sorry nilikuwa sijaangalia msimamo, nilifikiri jamaa wana alama tatu kabla ya mechi ya leo.
kama tutatoa suluhu basi leipzig atatoka ila kama tutafungwa basi ndio europe league inatuhusu.
hatukuwa na sababu ya msingi haswa ya kufungwa na vibonde wa kundi (waturuki)
Tunafanya mambo yawe magumu sisi wenyewe..
Tusishtuke tukiungana na vilaza Arse8 kwenye Europa League
Ile gemu tuliyoipoteza instanbul nayo tutaikumbuka sana
sorry nilikuwa sijaangalia msimamo, nilifikiri jamaa wana alama tatu kabla ya mechi ya leo.
kama tutatoa suluhu basi leipzig atatoka ila kama tutafungwa basi ndio europe league inatuhusu.
hatukuwa na sababu ya msingi haswa ya kufungwa na vibonde wa kundi (waturuki)
itategemea na mwalimu atakavyojiandaa(sidhani kama leipzig watakuja wakiwa watupu kama ilivyokuwa mechi ya kwanza kwa sababu tumeshawapa matumaini)Mpira ndivyo ulivyo mkuu, game ya Leo kocha kawaangusha, PSG haikuwa timu ya kuwafunga leo.
Kama angefanya sub mapema ya Fred, ninaamini mngekaza hata kutoa sare ambayo ingekuwa nzuri sana kwenu.
Hapo mnaenda kutafuta sare ugenini, itakuwa game ngumu sana. Lakini naona mtapita kwa mtazamo wangu.
Mpaka sasa msimamo unavyotakiwa kuwa ni PSG wa kwanza, wa pili Man Utd na RB Leipzig wa tatu.