Km 3-5-2 haifit acheze hata 4-4-2 au 4-3-3 mana hyo fomesheni yake haitufurahishi au huendaa anaweka fomesheni tu km geresha lkn wachezaji wanacheza vile wanajua.Atakuwa kaorodhesha tu bila kuzingatia formation wala pattern ya uchezaji
Duhtumefunga goli 1 tu pale old trafford ambalo si penalty na ilikuwa ni miezi miwili iliopita dhidi ya crystal palace
Wachezaji hawawezi kuwa kwenye top form msimu mzima.Mbn hatukuwa tukiwalaumu km saivi, hv PTER unadhani ni ww pekee ndio inakuuma man u inapozingua?
Ndiyo kitu tunachoongea hapa kwmb haiwezekani tm nzima iwe hovyo lazima benchi la ufundi lihusike.Wachezaji hawawezi kuwa kwenye top form msimu mzima.
Mbona pale Liverpool Sadio Mane na Firmino wana muda mrefu tu bila kufunga goli?
Mchezaji mmoja mmoja hawezi kuwa kwenye top form msimu wote hata Rooney kuna misimu hakuwa form japo timu iliperform.
Mimi kinachonikera ni timu nzima kucheza vibaya hili ni tatizo kubwa zaidi kuliko form ya an individual player.
Anaweka two holding midfielders ili kuwalinda Maguire na Lindelof.Km 3-5-2 haifit acheze hata 4-4-2 au 4-3-3 mana hyo fomesheni yake haitufurahishi au huendaa anaweka fomesheni tu km geresha lkn wachezaji wanacheza vile wanajua.
Hizo ndy kelele za mashabiki wa man u dunia nzima..Kocha hataki kumuanzisha Cavani anataka kutuaminisha kwmb hajaingia kwenye mfumo.
Morinho hajawahi pandisha Kiwango cha mchezaji yeyote duniani,,Kwani Cavani ni regular starter ?
Hao vijana wawili hata kwa Mourinho walikuwepo kwahiyo na yeye hakuwa kocha mzuri akashindwa kuwapandisha kiwango ?
Alikuwa anatafuta back up striker.Morinho hajawahi pandisha Kiwango cha mchezaji yeyote duniani,,
Wachezaji wote anawakuta na viwango vyao..vya uchezaji.
Mimi bado najiuliza kwann ole alimnunuwa VDB na cavani?
Naomba mwenye uelewa anieleze..
Always nasema tatizo ni Ole..
Akija kocha mwingine watu kama Martial hastahili kucheza striker no 9.
Kuna siku nilishawahi kulisemea hilo,,,Anaweka two holding midfielders ili kuwalinda Maguire na Lindelof.
Tungekuwa na defence nzuri sana hasa wenye pace asingetumia hao two holding midfielders.
Unaposema atumie 4 4 timu inao hao wingers wa kuweza kucheza hiyo formation ?
Wengi tu..mfano Wenger..van gaal ,,fergerson nk.Alikuwa anatafuta back up striker.
Anyway kocha gani ambaye huwa anapandisha viwango vya wachezaji ?
Ot tumecheza mechi ngapi na Hio 4-2-3-1? Angalia mechi kadhaa zilizopita ukitoa hii ni timu kubwa Against chelsea, Spurs, arsenal na Rb leipzig. Mechi kubwa Tunajua Ole anavyopanga timu.OGS hamna kocha mule, yaani ushindi wa jana 1 - 0 ndio ushindi wa kwanza OT msimu huu, anang'ang'ana na 4-2-3-1 wakat haumpi matokeo, sielew mazoezin uwa anawafundisha nin vijana? Maana tukicheza na hata underdog tunapata ushindi kwa tabu
Kibaya zaidi sioni dalili za yeye kufukuzwa, yaani Koeman kule Barcelona atafukuzwa mapema kabla ya OGS
Yaani sometime nahisi Woodward na wamarekani wake wapo kuihujumu timu yetu pendwa
Kikosi chetu apewe manager anayejitambua like Carlo Ancelot im sure tunakua title contender
Moja ya ubora wa manager ni kupandisha viwango vya wachezaji wake, ila kw huyu OGS kuna siku tutamkataa Bruno hapa, lets wait
Nimetoa Mfano Spurs na west brom, spurs pia walibahatisha kama sisi tu, walifunga goli lala salama, tena bora sisi tumetengeneza zaidi kuliko spurs against west brom.Shida sio perfomans shida ni umaliziaji wa nafasi tunazopata ndio kinachokera tena nyumban kwa timu iliyoruhusu goli 17 kwenye ligi jana spurs kacheza mpira ambao hauwezi kuwapa matokeo lakin wamepata na credit kachukua jose martia na rashford ndio mastriker tunawategemea halafu wanakosa sana magoli mech ya jana ilikuwa inaisha kati ujue
Nitajie msimu mmoja tu Martial ama Rashford wamefikisha goli 17 epl tofauti na Chini ya Ole.Wengi tu..mfano Wenger..van gaal ,,fergerson nk.
Van persi alipokuja. Arsenal alikuwa hachezi striker no 9 ,,baadae akambadilisha akampa makali,
Van gaal..alimbadilisha Valencia kutoka winger hadi beki akawa moto..
Wapo makocha wengi ambao huamini watoto na kuwapandisha viwango,,
Hivi rashford ,,,martial wa van gaali ndy hao?
Wanapata nafasi kumi za wazi wanafunga moja?
Na bado unamuanini?hata morinho asingekubali kumpanga martial over cavani..
Hapo kwetu tume feli..
Tatizo ni ole mkuu...
Leo ujazama mgodini au Shimo alijatema niniHuna akili wewe!
Kenge imeshika mpira, ulitegemea lefa angetupa pipi tulambe?
Tumepiga penalt sababu ni sehem ya sheria za soccer.




Kama kusingekuwa na kipengele cha penati basi mechi nyingi sana mngepoteza.Argentina wangekuw mabingwa wa copa amarica kama mess angepata penat huu mjadala ni wa kitoto kwa watu wa mpira hivi epl kuna timu haijapiga penat na ikashinda? Nitajie timu iliyokataa penat baada ya mwamuzi kutoa