Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sijasema tuende sokoni tukamnunue sasa hivi..nimesema ilitakiwa front line yetu iwe na mtu kama yeye(mwenye attribute kama zake)..

Martial na Rashford wagombanie namba kushoto..Na kulia tupate world class right winger/foward
Hoja yako hapa ni kwamba bado kikosi chetu hakijakamilika au OGS ni mbovu ?
 
Yn hata akitokea pembeni wanachukua mpira kilaini, kwakweli pale tulipigwa asbh kweupee.
Yule hatujapigwa tulitakiwa na world class striker kisha Martial akawa kama fringe player tu kipindi cha Ferguson, Welbeck, Chicharito walikuwa fringe players tu huku tukiwa na watu wengine wenye uwezo zaidi yao.
 
De gea

Bissaka Maguire Telles

Greenwood Fred McTommy Bruno Vdb

Cavan Rashford
Kumbe unaongea kitu ambacho hujui?

3 5 2.
3 4 3
4 5 1.
4 3 2 1.
3 4 2 1.
4 4 2 diamond
Hizo formation zote zinakuwa na five defenders except 4 5 1 na 3 4 2 1, lakini zote ni defensive formations.

Kwa kikosi chetu Ole msimu uliopita alitumia
3 4 2 1 against Liverpool, Man city na Tottenham.

Msimu huu aliitumia 3 4 2 1 against PSG na alitumia 4 4 2 diamond against Liepzig na Instanbull.

Mifumo ya kutumia 3 defenders mara nyingi wote huwa ni central defenders.

Halafu fullbacks unawaconvert into wingbacks.

Hebu tuambie wewe hapo central defenders wako wapi na wingbacks wako wapi ?
 
ipo hivyo hatuzitumii ipasavyo nafasi zinazotengenezwa. mfano jana kama tungelikuwa na mwanadamu mfano wa de lima zile nafasi 6 alizotengeneza tungelikuwa tunaongea hadithi nyengine.
Yeah timu imetengeneza nafasi clear 6 lakini hatukuweza kuzitumia tu na katika mchezo hivi vitu wakati mwingine vinatokea.

Tungeweza kumtumia Cavani lakini kwa umri wake na bado hajazoeana na wenzake still bado tusingefanya la maana.

Kikubwa benchi la ufundi liangalie kwanini wachezaji wake wa mbele wamekuwa butu sana msimu huu hasa Martial na Rashford vinginevyo tumrejeshe Greenwood.
 
Kumbe unaongea kitu ambacho hujui?

3 5 2.
3 4 3
4 5 1.
4 3 2 1.
3 4 2 1.
4 4 2 diamond
Hizo formation zote zinakuwa na five defenders except 4 5 1 na 3 4 2 1, lakini zote ni defensive formations.

Kwa kikosi chetu Ole msimu uliopita alitumia
3 4 2 1 against Liverpool, Man city na Tottenham.

Msimu huu aliitumia 3 4 2 1 against PSG na alitumia 4 4 2 diamond against Liepzig na Instanbull.

Mifumo ya kutumia 3 defenders mara nyingi wote huwa ni central defenders.

Halafu fullbacks unawaconvert into wingbacks.

Hebu tuambie wewe hapo central defenders wako wapi na wingbacks wako wapi ?
Sawa mtaalamu wetu.
 
Sio kweli PTER mchukue Rashford mpeleke Bayern af utaona hata hili garasa Martial tunalolilaumu humu nadhani nalo huenda tatizo ni lile lile la benchi la ufundi kushindwa kupandisha kiwango, unataka kunambia Cavan hana level ya kuchezea utd?
Kwani Cavani ni regular starter ?

Hao vijana wawili hata kwa Mourinho walikuwepo kwahiyo na yeye hakuwa kocha mzuri akashindwa kuwapandisha kiwango ?
 
Kwani Cavani ni regular starter ?

Hao vijana wawili hata kwa Mourinho walikuwepo kwahiyo na yeye hakuwa kocha mzuri akashindwa kuwapandisha kiwango ?
Mbn hatukuwa tukiwalaumu km saivi, hv PTER unadhani ni ww pekee ndio inakuuma man u inapozingua?
 
★Chances created in the Premier League so far this season:

Bruno Fernandes [26]
Kevin De Bruyne [23]
Jack Grealish & Mo Salah[21]★

#GGMU

manutd |
IMG_20201122_112628_433.jpeg
 
Back
Top Bottom