OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Huyu nyumbu ni kiungo, beki au straikaNYUMBU kama NYUMBU View attachment 1632106




Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Huyu nyumbu ni kiungo, beki au straikaNYUMBU kama NYUMBU View attachment 1632106




Hili ndiyo tatizo la benchi letu la ufundi, yn wanashindwa kubadili mchezaji akawa moto ktk nafasi fulani mpk tusajili? Kocha kazi yake nn ss, ok Kuna academy kule inatumia mamilioni ya dollar so wanakosa wings wa kuwapandisha mpk tusajili? Huu wimbo huwa unaniudhi sn, kila cku ni kelele Sancho Sancho Sancho as if hyo namba ni special sn.Morinho hajawahi pandisha Kiwango cha mchezaji yeyote duniani,,
Wachezaji wote anawakuta na viwango vyao..vya uchezaji.
Mimi bado najiuliza kwann ole alimnunuwa VDB na cavani?
Naomba mwenye uelewa anieleze..
Always nasema tatizo ni Ole..
Akija kocha mwingine watu kama Martial hastahili kucheza striker no 9.
Hata yule wa Bayern anapandisha viwango wachezaji.Wengi tu..mfano Wenger..van gaal ,,fergerson nk.
Van persi alipokuja. Arsenal alikuwa hachezi striker no 9 ,,baadae akambadilisha akampa makali,
Van gaal..alimbadilisha Valencia kutoka winger hadi beki akawa moto..
Wapo makocha wengi ambao huamini watoto na kuwapandisha viwango,,
Hivi rashford ,,,martial wa van gaali ndy hao?
Wanapata nafasi kumi za wazi wanafunga moja?
Na bado unamuanini?hata morinho asingekubali kumpanga martial over cavani..
Hapo kwetu tume feli..
Tatizo ni ole mkuu...
Very strange mkuuHili ndiyo tatizo la benchi letu la ufundi, yn wanashindwa kubadili mchezaji akawa moto ktk nafasi fulani mpk tusajili? Kocha kazi yake nn ss, ok Kuna academy kule inatumia mamilioni ya shilling so wanakosa wings wa kuwapandisha mpk tusajili? Huu wimbo huwa unaniudhi sn, kila cku ni kelele Sancho Sancho Sancho as if hyo namba ni special sn.
Fernandes ndo ameshikilia kibarua cha Ole★Scholes: "You have to wonder where United would be without Fernandes. Everything goes through him. Creates chances and scores goals."★
#GGMU![]()
manutd | View attachment 1632198
Anakunja £200k+ per weekAnthony Martial ni mfano dhahiri kuwa kwenye maisha kuna watu wana bahati tuu na maisha hayako fair

★
Fernandes ndo ameshikilia kibarua cha Ole
Ole inabidi amuheshimu sana
Mourinho hajawahi pamdisha kiwango cha mchezaji!??? Absolute bullocks!!!!Morinho hajawahi pandisha Kiwango cha mchezaji yeyote duniani,,
Wachezaji wote anawakuta na viwango vyao..vya uchezaji.
Mimi bado najiuliza kwann ole alimnunuwa VDB na cavani?
Naomba mwenye uelewa anieleze..
Always nasema tatizo ni Ole..
Akija kocha mwingine watu kama Martial hastahili kucheza striker no 9.
It's absurd for real.Anakunja £200k+ per week
This is united
Penalt hawapeani kama pipi, ingekua hivyo kila gem ungeziona penalt.Sasa kwann mnategemea penalti tu? Kwan safu yenu ya ushambuliaji haiwezi kufunga mpaka mpewe penalti.?
SawaaaaaaaaaaaaaaaHuna lolote na litimu lako kama kikundi cha vikoba NYUMBU ww
Chupi weBrunoPENALTI akijiandaa kuruka ili apige PENALTIView attachment 1632097
And yet asipokuwepo tunakua butu? Unafikiri ni coincidence amerudi tumeanza Kushinda?Anthony Martial ni mfano dhahiri kuwa kwenye maisha kuna watu wana bahati tuu na maisha hayako fair
Martial yupo kwenye 250k hapo hujaongelea BonusAnakunja £200k+ per week
This is united
Huwa najiuliza kauli kama hizi OGS huwa anamwambia nani sana sana?