Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jamaa pia kashapoteza ile influence aliyokuwa nayo hapo nyuma ndani ya United..ni muda sasa aondoke maana hata ubora wake hatujauona kwa level tulizozitaka..
Ukweli ni kwamba ujio wa Bruno umeua influence ya Pogba kwenye timu na hata kwa Mwalimu.

Mwanzoni Pogba ndiyo alikuwa kila kitu pale United lakini sasa hivi hata kucheza hatazamwi kama ndiyo key man wa timu.

Kuanza kuwekwa benchi mara kwa mara ni ishara tosha kuwa hata mwalimu hamuamini tena kama zamani.
 
Mkuu kwa mtu wa soka yeyote yule hawezi kumtilia shaka Fernandes itakuwa ni jambo la aibu ktk soka, FYI Bruno anaanza ktk kikosi cha timu yoyote ile duniani c Bayern, Barca, Madrid Wala City, hakuna kiungo wa kumuweka benchi Bruno, we kaa alafu fikiria ni mchezaji gn wa kumuweka benchi Uncle Bruno.
Haaahaaaa Mkuu unachekesha kinoma ngoja nivunge
 
Rashford ana makosa mengi ya kiufundi hususan katika suala la pasi utakuta anamtoka mtu vzr lkn hyo pasi akayotoa unaeza kujiuliza huyu ni mchezaji wa utd kweli huyu.
Martial na Rashford kuna muda unawaangalia unasema hawa ni world class..ila mechi nne mbele wanacheza kama watoto wa League 2 ya England..Pia sijui wanadekezwa kimtindo..
 
★Huyu nae maswala ya kusemeana yalishapitwa na wakati amuache yeye mwenyewe aseme kama kweli hafurahishwi kuwa pale OT★
Hii inaleta shaka sana na loyalty ya Pogba kwa United.

Kila akienda ufaransa lazima achomoe betri ila akiwa Carrington anakuwa mpole kwa sababu hana influence tena kama ya zamani.

But all in all ni mwendelezo wa Magazeti kuandika taarifa za Man United.
 
Mkuu kwa mtu wa soka yeyote yule hawezi kumtilia shaka Fernandes itakuwa ni jambo la aibu ktk soka, FYI Bruno anaanza ktk kikosi cha timu yoyote ile duniani c Bayern, Barca, Madrid Wala City, hakuna kiungo wa kumuweka benchi Bruno, we kaa alafu fikiria ni mchezaji gn wa kumuweka benchi Uncle Bruno.
Kelvin De Bruyne, Luka Modric Tomas Muller
 
★Real talk me mwenyewe kipindi anafanya yale maringo yake arudi Juventus kipindi kile nilikuwa napiga ombi nikiwaza ni nani atafaa hapo maana hatukuwa na mtu kabisa lakini Toka aje Bruno naona hata wakimuuza bei ya Chris Smalling inatosha kabisa maana naona anaelekea kuwa Useless yani ile Totally Useless (Trash) asipobadirika sijui kama atatoboa★
Ukweli ni kwamba ujio wa Bruno umeua influence ya Pogba kwenye timu na hata kwa Mwalimu.

Mwanzoni Pogba ndiyo alikuwa kila kitu pale United lakini sasa hivi hata kucheza hatazamwi kama ndiyo key man wa timu.

Kuanza kuwekwa benchi mara kwa mara ni ishara tosha kuwa hata mwalimu hamuamini tena kama zamani.
 
★Wao waandike tu wauze watumie Fursa hii watauza piah★
Hii inaleta shaka sana na loyalty ya Pogba kwa United.

Kila akienda ufaransa lazima achomoe betri ila akiwa Carrington anakuwa mpole kwa sababu hana influence tena kama ya zamani.

But all in all ni mwendelezo wa Magazeti kuandika taarifa za Man United.
 
Kelvin De Bruyne, Luka Modric Tomas Muller
Kwmb Modric anayeanzia benchi cku hz ndo amuweke benchi Bruno, ss Thomas Muller anacheza namba ngp cz huwa namuona akifunga tu ball control zero, talking of de bruyne huyo atacheza na Bruno pia atacheza hakuna shida.
 
FA Cup Final - 1994 #TB

manutd |
IMG_20201110_104712_508.jpeg
 
★Real talk me mwenyewe kipindi anafanya yale maringo yake arudi Juventus kipindi kile nilikuwa napiga ombi nikiwaza ni nani atafaa hapo maana hatukuwa na mtu kabisa lakini Toka aje Bruno naona hata wakimuuza bei ya Chris Smalling inatosha kabisa maana naona anaelekea kuwa Useless yani ile Totally Useless (Trash) asipobadirika sijui kama atatoboa★
Ukweli ni kwamba bado Pogba ni mchezaji mzuri lakini huenda hataweza kuendelea kuwa bora pale United kwa sababu zake mwenyewe binafsi.

Toka ligi imeanza Pogba hajawahi kucheza mbele ya Scot na Fred kwenye Pivot role yao na yeye akacheza nafasi anayocheza Bruno.

Hata World Cup 2018 Pogba alikuwa anacheza mbele ya Ng'olo Kante na Blaise Matuidi najua unafahamu shughuli ya hao watu wawili.

Kama Solkjaer atajaribu kumtumia katika majukumu hayo itampunguzia defensive duties na huenda akaanza kufunga na kutoa assist pia.

Ni jukumu la mwalimu kubuni mbinu za kupata ubora wa mchezaji wake.
 
Kwmb Modric anayeanzia benchi cku hz ndo amuweke benchi Bruno, ss Thomas Muller anacheza namba ngp cz huwa namuona akifunga tu ball control zero, talking of de bruyne huyo atacheza na Bruno pia atacheza hakuna shida.
Luka Modric anakaa benchi la wapi ?

Bruno hawezi kumkalisha benchi De Bruyne na hawawezi kucheza pamoja labda mmoja alazimike kucheza winger.
 
Kwmb Modric anayeanzia benchi cku hz ndo amuweke benchi Bruno, ss Thomas Muller anacheza namba ngp cz huwa namuona akifunga tu ball control zero, talking of de bruyne huyo atacheza na Bruno pia atacheza hakuna shida.
Thomas Muller anacheza position hiyo hiyo anayocheza Bruno na De Bruyne ila kama unaangalia mpira kwa sababu ya betting huwezi kuona ubora wa huyo kiumbe.
 
★M.E.N. | Manchester United will consider sending midfielders Ethan Galbraith and Arnau Puigmal and full-back Ethan Laird out on loan in the January transfer window.★

manutd |
IMG_20201110_211201_775.jpeg
 
★ESPN | Dean Henderson could leave Manchester United on loan in January, as the club reportedly delay their decision over Sergio Romero’s future★

#GGMY

manutd |
IMG_20201110_211047_889.jpeg
 
Thomas Muller anacheza position hiyo hiyo anayocheza Bruno na De Bruyne ila kama unaangalia mpira kwa sababu ya betting huwezi kuona ubora wa huyo kiumbe.
Wewe una matatizo makubwa mkuu ww yn umfananishe Bruno na Modric wa ss, eti Muller
 
Back
Top Bottom